Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 274
- 170
Kwako ipi ni njia sahihi baada ya kupita form four,? Na ipi ni upotezaji wa muda..
Asante mkuuKwa mitihan ya saivi na changamoto zinazotukabili kizazi hiki kama unauwezo nenda tu collage kwan advance saivi ni rahisi sana kukatizha ndoto zako.
Me nmesoma advance na kufauru lakin still nmekuja chuo kusoma kitu ambacho skutarajia yan unakuta mtu ana one ya 9 PCB na E ya bam +S ya gs lakin unakosa afya kwaiyo bora tu ukapita short kati
Haya ni mawazo yangu lakin
Hahah, ugomvi upi tena?Naona unatafuta ugomvi umuu ndani
Kwaio maisha advance nw co poaKwa mitihan ya saivi na changamoto zinazotukabili kizazi hiki kama unauwezo nenda tu collage kwan advance saivi ni rahisi sana kukatizha ndoto zako.