Advanced hacking; Don't be a script kiddie..

Pia kujifunza namna ya ku reverse android , hii itakusiadi kufanya audit yako hata kama hujui au source code hazipatikani... unarudi juu kwenye RE kama unataka kupiga OS au APP
 
Mi natamani sana kujua haya mambo naomba mnisaidie nahitaji kusoma vitu gani niko tayari kujifunza hata kama ni mwaka...
Hatu ya kwanza ni uchunguzi wa kitu unacho taka kufanya au ku hack, kichunguze in and out... before hujaenda popote pale... them baada ya uchunguzi wako na tafiti akili yako itakuoa majibu ya kufanya... au itakupa requirement ...
 
Mtihani huu ndugu yangu mfano rahisi mimi nataka kuhack acc ya mtu x fb hapo c nahitaji kujua baadhi ya programme au??
 
Mfano kuna kipindi nilikuwa nafanya sana auditing ya code.. kwangu ikawa rahisi sana kuzitoboa web... hasa upande wa authentication and authorization.. pasipo kufanya prog yoyote... kile unachofanya sana na kukitafiti sana kwako kinakuwa rahisi sana kuki hack... hata demu uliye muweka karibu sana na ukamfanya akuamini na siri zake ... huwa ni rahisi sana kumpata utapo amua kumtongoza au awe mpenzi wako... c.c former Spy Baba Swalehe and his mentee Ambiele Kiviele

The same njia mabyo unatumia kumpata demu mkalii... tumia njia hiyo hiyo kujifunza hacking, kwako itakuwa nyepesi sana na hauto ona ugumu wowote
 
OK.. nimeona michango yenu wakuu mizuri sana na inamaana sana hasa kwa newbine na script kiddies.. lakn bado point yangu ipo pale pale nataka wanaojiita hackers watambue kuwa wengi wao ni script kiddies tu.. point yangu ni kwamba tunatakiwa kudevelop na kuwa wakubwa tuwe na mawazo mapana natamani kuona Mtanzania amekuwa Author wa bug kutoka Big company fulani mambo kama hizo.. na ndio maana nikachokoza kwa kuandika huu uzi..

Pili nimeeorodhesha program languages nyingi lakini sijasema ni lazima uzijue zote ukirudia kusoma bandiko langu utaona nimeandika Programming in C au C++ au C-sharp au python au Java nk. yaani hata lugha moja tu inatosha vizuri uielewe.

Pia ni kweli Assembly inaendana na Reverse engineering lakin nimetenganisha kwa kusudi ili nieleweke vizuri..na in reality hizi ni technologies mbili tofauti..

Pia kusema kuwa hacker mzuri sio lazima ujue programing hapo nakataaa.. na ndio maana nataka utofautishe kati ya script kiddie na hacker mzuri ... unawezaje kutoa kasoro ikiwa hujui hata mambo yanavofanya kazi? tuvuke hiyo stage ya uscript kiddie tuwe wakubwa zaidi hii sekta inalipa sana watu wanapiga mpunga mrefu huko Duniani na hii sekta haina mipakaaa..

login-logout

Mtihani huu ndugu yangu mfano rahisi mimi nataka kuhack acc ya mtu x fb hapo c nahitaji kujua baadhi ya programme au??
:D:D yaani hii sababu ndio inakufanya kujifunza hacking?
Nikuambie tu ili kuwa hacker unahitaji kujifunza technology..kujifunza technology si kitu cha kufanya siku moja ni kitu cha muendelezo na inahitaji passion yaani hii ni sekta kabisaa kama ilivo siasa,Biashara,afya nk
 
Z1LNUX_P01S0N

Ninaposema kuhusu prog language, namaana hii, huitaji kuwa guru au mtabe kwenye lang.. ili kuwa hacker mzuri unategemea unata ku hack nini.. binafsi nilijifunza php tu nilipokuwa nafanya task zinahousian na web pen test, nilipokuwa nafanya net pen test nikajifunza python, nilipo kuwa nafanya system test ndio nikajifunza Assembly.. task ndio iliniambia nifanye kitu gani... issue kubwa ni kujua Algorithm ... ukijua hiyo kitu kila language kwako ni maji mzee mkuu... mie nipo kwa hilii game toka kitambo sanaa... sema niliachaga baada ya kuwa pastor 🤪🤪

Nasisitiza watu wajifunze Algorithm zaidi na kujua zaidi wanacho taku kukichezea, ndio watajua wanatakiwa kufanya kitu gani... hacker mzuri ni yule anae kuja na njia mbadala...

Kuna mtu mmoja hapa duniani alinibadilisha sana mtazamo wangu wa hii mambo aliitwa bwana ADRIAN LAMO... huyu kwangu alikuwa kama mentor... tokea nilipojifunza mvt yake.. nilichange mazimaa
 
:D:D yaani hii sababu ndio inakufanya kujifunza hacking?
Nikuambie tu ili kuwa hacker unahitaji kujifunza technology..kujifunza technology si kitu cha kufanya siku moja ni kitu cha muendelezo na inahitaji passion yaani hii ni sekta kabisaa kama ilivo siasa,Biashara,afya nk
Sio lengo langu n mfano tu
 
Uzi mzuri mkuu. Sema tatizo la hackers wa tz ni wanajisikia na wanaringa + uchoyoo ndo maana hatuendelei. Wenzetu wanaushirikiano kutufunza hata sisi angalau hata ka programming hata intro tu.. ila sisi ndo roho ya korosho sana

Hao uliowatag rootadmin na Thefreedom nawakubali sana hasa huyu jamaa anajiita Thefreedom mshikaji peace saana hajisikiiii, sio mchoyo na hivi ndo tunatakiwa kuwa.

Pamoja we can chalii zangu. Tusaidiane bana ambao tunahitaji hata mwanga wa haya mambo
 
Back
Top Bottom