Advanced Excel for Professional & Tally ERP 9

Advanced Excel for Professional & Tally ERP 9

Naomba course content ya excel. Je mnafundisha hata introduction ya photoshop?
E-mail yangu ni amosikashaija@gmail
Asante ndugu "Bashatu", tumekutumia angalia kupitia email yako. Na karibu sana
 
Kwa watu wa mwanza tunapataje hizo kozi?
Asante ndugu "genacide", kwa sasa hatuna tawi lolote nje ya Dar es Salaam. Ila kama mahitaji yapo tunafanya hata mikoani. Huko Mwanza tulifanya mwezi wa sita mwaka jana pale PPF plaza. Kwa mwaka huu tutafanya tena mwezi wa nane.
Tuwasiliane: 0717 71 85 19
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana.
NOTE: kama ni kampuni au ni watu ambao mtaweza jipanga kama mkifika 15 tunaweza watrain hata huko muda wowote mnao utaka nyie. Asante sana.
 
Pia tunatoa kozi nyingine za asubuhi sana na jion sana zipo kwenye punguzo kubwa..wahi nafasi bado ipo
1. Basic Computer Knowledge
Muda :06:00 - 07:00 (asubuhi) - 150,000/=
:19:00 - 20:00 (jion) - 150,000/=
Utajifunza module zote tano na kupewa kitabu na Flash disk drive 8 GB free.
(i) Introduction to Computer & Windows 7
(ii) Introduction to Microsoft word 2013
(iii) Introduction to Microsoft Excel 2013
(iv) Introduction to Microsoft Power Point 2013
(v) Internet & E-mail

duration 5 weeks
karibuni sana
 
Kampuni ya "The Computer Skills" iliyobobea kwenye ufundishaji na ushauri wa kitaalum kwenye nyanja za ICT, itaendesha mafunzo zifuatazo;

1. Advance Excel for Professional
Muda: wiki moja, 16/01/2017 - 20/01/2017
Saa: 17:00 - 19:00
Fee: laki tatu na nusu (Tzs 350,000/=)
location: Makumbusho Business Complex, 2nd floor
Support: Utapewa manual, 8GB Flash Disk,Note book & 3 months of consultancy for free
Walengwa:Accountant,Auditors,HR,marketing,program managers and other stake holders

2. Basic & Advanced Tally ERP 9
Muda: wiki tatu, 09/01/2017 - 27/01/2017
Saa: 18:00 - 20:30
Fee: laki tatu na nusu( Tzs 350,000)

location: Makumbusho Business Complex, 2nd floor
Support: Colored manual, 8 GB flash,Note book and
refreshment
Walengwa: watumiaji wote wa TALLY
NOTE: kupata kozi kontent wasiliana nasi.

Usajili umefunguliwa tiari;
wasiliana nasi au fika ofisini kwetu;
Simu: 0717 718 519 / 0762 192 532
email: training@comskills.co.tz
Web: www.comskills.co.tz
Karibuni sana.
naomba course content ya basic and advanced tally ERP 9
nitumie hapa bmbachuta@gmail.com
 
naomba course content ya basic and advanced tally ERP 9
nitumie hapa bmbachuta@gmail.com

Asante sana ndugu :Mr.Bean Jr",
Tumekutumia tiari course content, tunaomba uangalie na kama una chochote tunaomba uwasiliane nasi.
Tupigie: 0717 71 85 19
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Ofisi zetu: Tupo Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
Muda: Tupo wazi kila siku kuanzia saa 06:00 - 20:30 kila siku.[ Jumapili: kuanzia 10:00 - 20:30]
karibu sana
 
Pia tunatoa kozi nyingine za asubuhi sana na jion sana zipo kwenye punguzo kubwa..wahi nafasi bado ipo
1. Basic Computer Knowledge
Muda :06:00 - 07:00 (asubuhi) - 200,000/=
:19:00 - 20:00 (jion) - 200,000/=
Utajifunza module zote tano na kupewa kitabu na Flash disk drive 8 GB free.
(i) Introduction to Computer & Windows 7
(ii) Introduction to Microsoft word 2013
(iii) Introduction to Microsoft Excel 2013
(iv) Introduction to Microsoft Power Point 2013
(v) Internet & E-mail

duration 5 weeks
karibuni sana
 
Course content please ya advanced Tally mpaul@vicatel. Com
 
Course content please ya advanced Tally mpaul@vicatel. Com
Asante ndugu, tumekutumia tiari. Waweza kuongalia na kama una chochote cha kuuliza usisite;
Tupigie: 0717 71 85 19
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Ofisi: Tupo Makumbusho Business Complex, 2nd Floor.
Muda: Tupo wazi kuanzia saa 11:00 Asubuhi - 3:00usiku (05:00 - 21:00)
Karibu sana
 
Pia tunatoa kozi nyingine za asubuhi sana na jion sana zipo kwenye punguzo kubwa..wahi nafasi bado ipo
1. Basic Computer Knowledge
Muda :06:00 - 07:00 (asubuhi) - 200,000/=
:19:00 - 20:00 (jion) - 200,000/=
Utajifunza module zote tano na kupewa kitabu na Flash disk drive 8 GB free.
(i) Introduction to Computer & Windows 7
(ii) Introduction to Microsoft word 2013
(iii) Introduction to Microsoft Excel 2013
(iv) Introduction to Microsoft Power Point 2013
(v) Internet & E-mail

duration 5 weeks
karibuni sana
 
Naomba course content ya advanced excel
Asante ndugu "KOMUGISHA", tunaomba utupatie email yako nasi tutakutumia iyo kozi content au kipeperushi cha kozi husika.
Waweza pia kutuandikia;
email: training@comskills.co.tz
Piga: 0717 71 85 19 / 0762 192 532
tembelea: www.comskills.co.tz
Fika: ofisi zetu zipo makumbusho Business Complex, 2nd floor.
Muda: Tupo wazi kuanzia saa 11 asubuhi - saa 3 usiku,kila siku
Karibu sana.
 
Among the topic in the coming Training are;
1.Logical Functions in accounts & Finance
2
.Lookup Functions
-Choose
-V/HLookup
-Index & Match
-NPV & IRR
3. Preparing Final accounts from Trial Balance using Pivot Tables
4.Common sized Financial statement analysis using Excel.

And so much more, to get a full course content please send us your email address.
You have anything to ask,
Call: 0717 71 85 19 / 0762 192 532
send: training@comskills.co.tz
Visit our office "Makumbusho Business Complex, 2nd Floor.
Karibu sana.
 
Back
Top Bottom