Advanced Diploma in Dermatovenereology (ADDV)

Kwa kenya kozi inachukua muda gani, au semester ngapi? Inahitaji kufanya internship?
 
Kwa kenya kozi inachukua muda gani, au semester ngapi? Inahitaji kufanya internship?
4yrs(12 semester's) +1yr of Internship ,kama ni fresh from school

3yrs (9semesters )+1yr of Interniship kama uko na diploma in clinical medicine

Kumbuka :MD Tanzania ni 10 semesters
 
Haya nahisi hii kozi itakuwa mkombozi kwa clinical officers wengi
 
4yrs(12 semester's) +1yr of Internship ,kama ni fresh from school

3yrs (9semesters )+1yr of Interniship kama uko na diploma in clinical medicine

Kumbuka :MD Tanzania ni 10 semesters
Jamaa wana semester 3 kwa mwaka?
 
Upo sahihi ndugu...Clinical officer wa Tanzania haiwahusu hiyo
 
Ndugu punguza ubishi
 
1.8M per trimester, 5.4M kwa mwaka si bora usome MD Uganda, Malawi au India kama umekosa Tanzania
 
1.8M per trimester, 5.4M kwa mwaka si bora usome MD Uganda, Malawi au India kama umekosa Tanzania

Hivi mkuu nasikia vyuo vya uganda/kenya kusoma MD kutokea CO Unasoma haijalishi una gpa ya ngap...sasa vipi ukirudi nchini inakuaje wataikataa degree yako.?
 
Hivi mkuu nasikia vyuo vya uganda/kenya kusoma MD kutokea CO Unasoma haijalishi una gpa ya ngap...sasa vipi ukirudi nchini inakuaje wataikataa degree yako.?
Pita TCU kabla haujaenda kusoma ili wakupe no-objection certificate (sijui nime type vizuri?) ili degree yako itambuliwe, vinginevyo utapoteza muda+pesa zako bure

Kwa mfano ukiwa na gpa chini ya 3.0 huna sifa za kusoma degree kwa TZ, so hata ukisoma Harvard degree yako haitambuliki TZ.
 
Kwani inawezekana ukawa na below 3.0 na TCU wakakuruhusu kwenda kusoma nje.?
 
Kwahio alternative ni kusoma hio barchelor ya clinical Officer au sio
Mbna nimepitia WEBSite yao naona kama Hata ma-CO wanaruhusiwa eniwei Vijana hebu acheni shirtcut piga MD kama una GPA ya 3.0 na kuendelea
 
Nipepata uhakika sasa baada ya kuwaconsult wizara ya Afya Kuona wengi mnabishana kuhusu nani anaruhusiwa kwenda kozi hiyo majibu yamekuja kama ifuatavyo
Kozi hyo anaenda hata kama Ni clinical Officer aliye na ufaulu kuanzia gpa 3.0 na kuendelea na baada ya kumaliza atatambuliwa kama stashahda ya juu ya magonjwa ya ngozi na magonjwa ya zinaa na kutunukiwa sawa kama yule wa AMO
Asante naomba kuwasilisha kwa mwenye conceen anaweza kuuliza nimepata ushahidi tosha nawapa huo wanaotaka kwenda waende na nimepewa taatifa kuwa kwa mwaka wa masomo 2021/2022 Wamedahiliwa wanachuo 14. Kati yao 8 wakitoka nje ya nchi
Asante
na 6 wakitoka tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…