Ndio imekataliwa, toka mwaka 2011 majadiliano yalipo anza hakuna kitu kimetokea, st joseph walianza mwaka fulani kutoa hii kozi wakazuiwa, Muundo wa utumishi wa MOH hauitambui, waanza kuitambua rasmi sio kuitambua kama AMO ambayo wanaiua taratibu
Mbona nimeeleza mkuu!Na kwenye board mnasajiliwa kama MD au AMO
Mbona nimeeleza mkuu!
TCU wanakutambua kama MD kwa sababu ile curriculum Ina vitu vyote anavyosoma MD lakini MCT /MAT wanatutambua kama AMO na wanasababu zao !Lakini tuna mwenyenzetu wamekataa kumtambua kama AMO Wala MD na badala yake anaitwa Clinical officer mwenye degree mpka atakapo fanya Interniship
Mbona nimeeleza mkuu!
TCU wanakutambua kama MD kwa sababu ile curriculum Ina vitu vyote anavyosoma MD lakini MCT /MAT wanatutambua kama AMO na wanasababu zao !Lakini tuna mwenyenzetu wamekataa kumtambua kama AMO Wala MD na badala yake anaitwa Clinical officer mwenye degree mpka atakapo fanya Interniship
CLINICAL OFFICER HANA VIGEZO VYA KUSOMA ADVANCED DIPLOMA IN DEMATOLOGY MKUU.REJEA POST ZA JUUnauliza swali kwa mfano umesoma clinical officer baada ya hapo ukasoma Advance diploma ya dermatology ,,,je unaweza kuombea degree kupitia cheti cha Advance diploma ya dermatology???
ok sawa if kma umesoma Advanc in dermatology unauwezo wa kuombea degree kwa advanc i dermatologyCLINICAL OFFICER HANA VIGEZO VYA KUSOMA ADVANCED DIPLOMA IN DEMATOLOGY MKUU.REJEA POST ZA JUU
Ok sawa ikiwa kasoma advance diploma in dermatology anaweza kuombea degree kupitia cheti chake cha dermatologyCLINICAL OFFICER HANA VIGEZO VYA KUSOMA ADVANCED DIPLOMA IN DEMATOLOGY MKUU.REJEA POST ZA JUU
Wewe umeisomea tz au nje? Tz ilianzishwa na st joseph na ikafutwa, kwa hutambuliki na moh, wala bodi yako haina maana tcu wakikutambua haina maana sababu tunasoma kozi upate leseni flani ya kufanya kazi kisha upige mpungaMbona watu ni wagumu kuelewa!Nimekwambia Tanzania tayari tunao wahitimu wa kozi hii BSc CLINICAL medicine and surgery Including me na tunatambulika kama AMO lakini TCU wanatutambua kama MD .Ni Kweli Tanzania hatuna chuo kinatoa kozi hii lakini wapo waliosoma kozi nje ya nchi na wanapiga kazi
Ataombea cha COOk sawa ikiwa kasoma advance diploma in dermatology anaweza kuombea degree kupitia cheti chake cha dermatology
Bachelor of clinical medicine and surgery haikuwauhi kuanzishwa na chuo chochote hapa Tanzania,St.Joseph na KIUT walikuwa na mpango tu , Wahitimu wote wa hii kozi tumesomea nje(KENYA ,UGANDA,MALAWI NA RWANDA)Wewe umeisomea tz au nje? Tz ilianzishwa na st joseph na ikafutwa, kwa hutambuliki na moh, wala bodi yako haina maana tcu wakikutambua haina maana sababu tunasoma kozi upate leseni flani ya kufanya kazi kisha upige mpunga
Vyuo gani malawi, rwanda, kenya na ug vinatoa hii koz?Bachelor of clinical medicine and surgery haikuwauhi kuanzishwa na chuo chochote hapa Tanzania,St.Joseph na KIUT walikuwa na mpango tu , Wahitimu wote wa hii kozi tumesomea nje(KENYA ,UGANDA,MALAWI NA RWANDA)
In KenyaVyuo gani malawi, rwanda, kenya na ug vinatoa hii koz?
In Kenya
1.Great Lakes university of KISUMU
2.Kisii University
3.Uzima university
4.Kabarak University
5.Mount Kenya University
6.Jomo Kenyatta university
UGANDA
1.Kampala International University
RWANDA-Rwanda National University
GPA yoyote ilimradi unadiploma in clinical medicineGpa ya ngap kutokea CO ukitaka kwenda kusoma hio kozi...[emoji120][emoji120]
Kipi ni cheap hapo mzee kwa uzoefu wakoIn Kenya
1.Great Lakes university of KISUMU
2.Kisii University
3.Uzima university
4.Kabarak University
5.Mount Kenya University
6.Jomo Kenyatta university
UGANDA
1.Kampala International University
RWANDA-Rwanda National University
Kipi ni cheap hapo mzee kwa uzoefu wako
KISII UNIVERSITY ,UKIACHA UNAFUU KIKO KARIBU NA TANZANIA IKITOKEA SHIDA YOYOTE NYUMBANI UNAENDA HARAKA,KUTOKA TARIME -MARA KUFIKA CHUONI NI MASAA MAWILI TU.Kipi ni cheap hapo mzee kwa uzoefu wako