jamani duniani pote kauli mbiu iliopo ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii zima ndivyo tunavyo jua na pia ukitaka mapinduzi ya kweli anza na wanawake kwanza wana convicing power ya kutosha, pia ni wengi. lakini tatizo ni pale wanawake kwa wanawake huwa kupendana hakupo kila sehemu je nikwanini na wewe kama mdau tufanyaje ili wanawake wawe pamoja na kushirikiana. naamini wanawake wanaweza bila kuwezeshwa