Abdillahjr
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 694
- 320
Kutoka kwenye kucha hadi thread hahaha.
Haya bwana. Adui wa mtu ni mtu mwenyewe.
wanaume nao hawavumi tuu lakini wamo...
Bwana mda mwengine Efficiency inahusika! Sio kuendekeza ujinsia kwenye masuala ya msingi na muhimu kama ofisini. We mchangu mwanamke hawara wa bosi kama kiongozi wa Otu afu ungoje siku ya Hearing yako ya mwisho kabla hujafukuzwa ndo utajua kura yako moja ilihusika sanaaa! " Dear hata mimi naona anamakosa huyo! Afukuzwe tu, we need to be strict!" Mazafanta!!!!!!!!!!!
Mimi binafasi kwenye mambo ya cheo au ya business yanayohusika na chapaaa i go for EFFICIENCY na yule mtu tunaelewana vipi na atanifaaa vipi mimi kama mimi. The others can go ........... themselves all i care.
EVERY BODY FOR HIMSELF GOD FOR US ALL.
Kuna wanaume wengine sijui hua wanashindwa kutafuta wanawake wazuri au wanashindwa kutongoza,wakiona mwenzao anamwanamke/mke mzuri ndio wanataka na wao hapo hapo, na huyo Diamond kwani wanamtaka kikweli sibasi tuuu....kivipi???!! tiririka???!!! Hembu angalieni mfano Diamond anavyogombaniwa na wanawake utazani magari ya posta asubuhi???!! au kuna Yule jamaa anaitwa Kelvin "Twist"
Kutoka kwenye kucha hadi thread hahaha.
Haya bwana. Adui wa mtu ni mtu mwenyewe.
Kuna wanaume wengine sijui hua wanashindwa kutafuta wanawake wazuri au wanashindwa kutongoza,wakiona mwenzao anamwanamke/mke mzuri ndio wanataka na wao hapo hapo, na huyo Diamond kwani wanamtaka kikweli sibasi tuuu....
wanawake wengine wana maradhi yakua na super star ili na yeye akahadithie kama yuko nae...
hahhahaha Jr kupangishwa foleni kuta ivoo..kuna ukweli lakini kwa hako katabia naona wanawake wanaongoza kwani wanaume huwa tunaambizana kuwa yule ni demi/mke wa fln so achana nae,watu watamla wakwako kama wana visa na wewe,lakini hata kama mtu akitongoza cha mtu mwanamke anakua hajui kama ye ni wa mwingine???!! Kwa nini wanakubali kutupangisha poleni utazani tupo NMB bank????!!
Binti-eee " in the time of crisis I was not hurt by the harsh words of my enemies, But by the silence of my lovers "Siku hizi iko kinyume, hebu mnyime mwanaume utupu uone habari yake atakuwinda kila mahali na kama ni biosi wako kimenuka