Wana jamii naomba kufahamu njia ambayo Google wanatumia kutuma Verification pin
Adress niliyoandika sio ya Posta
Hapo inakuaje?
Sasa bro hapo barua itafikaje? Inabidi iwe ni address ambayo barua inaweza kufika. At the least sanduku lako la posta.Nimecopy ya Bank Statement ambayo inaonesha Wilaya na Mkoa tu