Adsence

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
66
Reaction score
36
Mambo vp wadau, nilijaribu kuapply adsence lakini nimekataliwa. Ni vitu gani vya msingi nifanye ili nikubaliwe na adsense kwenye blog yangu?
 
Mambo vp wadau, nilijaribu kuapply adsence lakini nimekataliwa. Ni vitu gani vya msingi nifanye ili nikubaliwe na adsense kwenye blog yangu?
Andika Post zako unique 20+ na zenye maana,elewa unaandika kuhusu mada gani,husikopi vitu mitandaoni,boresha mwonekano wa site yako,tafuta traffic kidogo wa kutembelea site yako then omba utafanikiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…