Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,237
Habari
wadau nomba kujuzwa kama kuna mtu ana idea au anajua jinsi ya kuzui kama si kupunguza haya matangazo yanayokuwa yanakuwepo kwenye websites na sometimes yanaharibu muonekano wa website.
Matangazo haya yanakuwa yameandikwa sehemu "ads not by this site".Nilikuwa nafikiria labda website contents zichukue 100% space may be it can help.Aliyefanikiwa kuzuia naomba anijuze.Natanguliza shukurani
Regards