Nakumbuka historia ya Prof Sarungi bado haijavunjwa mpk Leo ya A3 hao umewatoa wapiMpe pole. MUHAS waombaji kuna PCB wa A3 kama 1000 hivi!
Kabla ya kuomba tena angalia ufaulu wake wa GS na BAM coz hata hayo yanaweza kuwa kigezo cha yeye kukosa koteHabari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Bahati nzuri kijana mwenyewe ndio weweHabari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Duh! Afanye second round hawezi kosa multiple wameshamuachia nafasHabari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Kwa kweli hii inauma sana. Niwape wote pole kwani huu ni ufaulu mzuri sana kwa kiwango chochote. Labda ajaribu CUHAS (Bugando), St Joseph pia wana admit, Kairuki. Kama uwezo upo nashauri pia kuangalia China unaweza kuwatafuta (Global Education Link au Universities Abroad Link). Option nyingine aangalie course za Biology, Anaweza pia kusomea BVM (udakitari wa Wanyama-SUA). Sitaki kuzungumzia system iliyotumika kudahili mwaka huu lakini haya ndo matokeo. Mkuu poleni sana.Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Mkuu umerudi lini nchini?Nakumbuka historia ya Prof Sarungi bado haijavunjwa mpk Leo ya A3 hao umewatoa wapi
Akachukue Hata Bpharm mbona iko smartHabari zenu Wadau.