Administrative Assistant UNICEF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Administrative Assistant UNICEF

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mau, Aug 19, 2009.

 1. Mau

  Mau Senior Member

  #1
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Administrative Assistant

  Category:Office & Admin

  Location:Kigoma, TanzaniaEmployment Type:Full-TimeSummary:The United Nations Children Fund(UNICEF) Description:Requirements:
  • Completion of secondary education. Ability to operate computers and telecoms equipment
  • Five years of progressively responsib;e clerical, administrative or financial work
  • Very good knowledge of the local language and one or two languages of the organization.
  Interested candidates should apply in writing/online with a copy of their CV with vacancy notice number 2009/22 clearly marked on the envelope. Do not attach copies of your certificates.
   
 2. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hizi nafasi za kazi naomba waende wale ambao hawana kazi kabisa, mimi mikoa ya huko ni kupoteza uelekeo tu. Hasa wale ambao tumeishi mjini kurudi huko ni kama unarudi nyuma. msiache kazi zenu dar kwenda huko maporini boarer.

  Ni usahuri wa bure, think critical.
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Na walioko kwenye mining industry unawashaurije?
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kama umo ndani ya jahazi endelea huku ukiangalia kurudi mjini. nasema wale ambao hawajawahi kwenda mikoani kwa kazi za zima moto kama wakimbizi, mining nk.
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nimekutumia CV yangu kwenye PM yako mkuu......
   
 6. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unge attach website sasa, mbona unaweka kitu halafu huweki wapi wapate hizo website ili wajaze form? Usingeleta kabisa kuliko kuleta nusunusu.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  jamaa kaleta infor nusu nusu.....wapi watu watume maombi? ndio maana mie nimeamua kumtumia CV yangu kwenye PM yake ajue wapi ataituma
   
 8. M

  Mage Member

  #8
  Sep 5, 2009
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunaotaka kutuma kwa barua je?
   
 9. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2009
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakuna Address ya kutuma maombi mbona?ingekuwa nafasi za kazi zinatangazwa namna hii haki ya Mungu kusinekuwa na watu wanaoapply info nusu hiyo mkuu kama unataka kusaidia watu especial sisi tusio na kazi ingependeza ungetoa na anuani ya kutuma maombi.
   
 10. m

  muvimba Member

  #10
  Sep 30, 2009
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  nafikiri wazo ni zuli kuwa kazi imetangazwa tupe address, ni wapi UNICEF Dar au Kigoma confirm mkuu
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  in writing lakini hatuoni address ya kutuma mzee....waweza kutupatia?
   
 12. JS

  JS JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa nini unadiscourage watu hivyo kuapply hiyo kazi ya UNICEF?ikiwa dar tu ndo watu waombe jamani?maisha ni popote na kazi pia ni popote si lazima iwe mjini tuu sijui rusha mara dar mara mwanza maana hiyo ndo mikoa inayojulikana sasa. halafu mwisho wa siku watu wanalalamika mikoa mingine imebaki nyuma itaacha isibaki nyuma kama work force yenyewe ndo hiyo inadiscourage wengine kuomba kazi huko???kudevelop kwetu kutachukua muda kweli with that attitude...
  Ndugu zanguni kama unajiona unaqualify and the post suits your needs please ombeni wote wenye kazi na wasio na kazi you never know what lies ahead sawa...good luck na pia aliyerusha tangazo tunaomba address wengine tuiombe au tuconnect ndugu zetu.nawasilisha.
   
Loading...