nashicha JF-Expert Member Joined May 29, 2021 Posts 279 Reaction score 524 May 30, 2021 #41 Bro Mimi kwakweli na kupongeza duuu vyote hivi vyote nimesoma darasa la kumi
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,849 May 30, 2021 #42 Bujibuji said: Amina 🙏 Click to expand... Hii siyo copyright infringement (kukiuka hakimiliki)?.
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,676 Reaction score 6,502 Feb 23, 2022 #43 Orketeemi said: Mzee naona umeamua kucopy na kupaste . Click to expand... Ulitaka aseme ni yake?
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,849 Feb 23, 2022 #44 Kusoma siyo tatizo, jee mumeelewa undani wa hiyo hadithi? Na vipi mafunzo yaliyomo kwenye hadithi yanaweza kutumika katika muktadha wa jamii iliyopo sasa?
Kusoma siyo tatizo, jee mumeelewa undani wa hiyo hadithi? Na vipi mafunzo yaliyomo kwenye hadithi yanaweza kutumika katika muktadha wa jamii iliyopo sasa?
K Kb Ulayaulaya JF-Expert Member Joined Jan 5, 2023 Posts 802 Reaction score 1,156 Apr 27, 2023 #45 Nduguze
mzeewabarakoa Member Joined Oct 20, 2024 Posts 7 Reaction score 8 Dec 9, 2024 #46 Aisee kiswahili kigumu sana