Adhabu zingine ni majanga jamani

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
12742455_252882041724058_2998200390113524204_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Kama huyo ni mwanangu wakati mie napelekwa mahabusu, mwalimu atakua kwenye ambulance kuwahishwa kwenye atibabu au chumba cha kuhifadhia maiti!
 
Shit, mbona sioni cha ajabu hapo?
Tatizo lenu nyie watoto mayai sana, hivi hiyo ni adhabu ya kuijadiri hapa kweli? Hivyo vikokoto havifiki ata nusu kilo. Ndio maana huko kwenu mijini wanaume wengi mibwabwa tu!!!!
 
Back
Top Bottom