Adhabu zingine kiboko

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104


Sote tumezoea kuadhibiwa pindi tukoseapo lakini hii adhabu ni kiboko.
Ukiitumie kumuadhibu mpenzi wako hii imekaeje?
 
Kameruni asiwepo karibu
vinginevyo imekula kwako
 
Labda avae helmet. Hii itakuwa Congo.
 
Haya ni mazoezi ya kijeshii au ni wanajeshi wanaadhibiwa...
 
Hayo ni mazoezi ya special force.
 
Makomandoo hao wanapasha utosi.
 


Sote tumezoea kuadhibiwa pindi tukoseapo lakini hii adhabu ni kiboko.
Ukiitumie kumuadhibu mpenzi wako hii imekaeje?

Halafu watu wanajidai "occupy Arusha", wanaambiwa tawanyikeni hawataki. Si lazima wawamalizie hasira zao!
 
mwanaume akienda nje ya ndoa akapewa adhabu hiyo, harudii tena! akirudia ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…