Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,796
- 5,394
Humo ndani ya kambi nahisi kulikuwa na mzito yupo ndani, na muda wowote alitakiwa kutoka. Kama kungekutwa geti limezibwa vile angezinguliwa vibaya na hata kutukanwa. Kuliko aje kuzinguliwa lazima akuzingue weweHawa Jamaa usiombe uingie kwenye 18 zao,utajuta kuwafahamu.
Siku moja Tulikuwa kwenye foleni ya kuelekea mjini,kuna jamaa wa Lori akaziba geti la kuingilia pale kambi ya Abdallah Twalipo uhasibu. MP akamfuata kistaarabu kabisa "mambo vipi Kaka?" Jamaa akaitikia "Safi kabisa afande". Afande akamuuliza hapa uliposimama si unajua Kama ni getini? Mwamba kwa kujiamini kabisa akaitikia ndiyo afande ila tatizo foleni haitembei,Sina jinsi, samahani sana.
Kama kawaida ya wanajeshi kujifanya wastaarabu kwenye matukio ya aina hii. Afande akamwambia sasa ndugu kwa kuwa foleni haiendi shuka tu hapa upumzike tupige stori,foleni ikitembea utaendelea na safari yako. Dereva wa Lori kwa mbwembwe akafungua mlango ashuke eti apumzike na wanajeshi. Hapo ndiyo 'ntiti' ulipoanza!!
MP akamwambia "kaka sijasema ushuke mlangoni,shukia dirishani" lilikuwa ni tukio la kuchekesha Sana kwa sisi wapita njia ila kwa lililomtokea lilikuwa ni tukio mbaya na la kufedhehesha.
Picha linaanza,gari anayoendesha jamaa ni Scania R 420,Chuma mpya kabisa ya Transit alafu imepanda hewani Kama farasi,imebeba mafuta inaelekea nje. Gari ikisimama dereva unamwona yule kuleee ghorofani. Sasa vuta picha dereva ameambiwa ashuke kupitia dirisha badala ya mlangoni. Sisi wengine wa pembeni Tulicheka Sana maana jamaa kwanza ni bonge alafu ili ashuke kwa kutumia dirisha inabidi ajikusanye awe Kama fungu la nyanya Kisha ndiyo atoe miguu nje. Ilimchukua karibia dakika 15 kushuka. Wakati huo MP alikuwa siriazi hacheki wala haongei. Yeye anamsubiri jamaa tu ashuke wapige stori. Dereva akadondoka chini Kama mzigo wa viazi mbatata vya Mbeya..Tiii!!
Suruali yote imechanika kwenye maungio ya miguu. Aliposhuka huku kijasho kinamtoka mjeda akaanza kupiga nae stori Kama hakuna kilichotokea "naona chuma imeshakunywa wese inasepa?" Dereva kinyonge akajibu yeah inaelekea Ndola,Zambia. Wakapiga stori Mara foleni ikafunguka magari yakaanza kutembea. Afande akamwambia dereva Sasa unaweza kwenda tu maana gari zinatembea. Dereva akatoa shukrani Kisha akaelekea kwenye gari yake asepe.
Cha ajabu wakati dereva anafungua mlango Mjeda akamwambia mzee baba si tulikubaliana tunapitia dirishani? Ahahahhaha kazi ya kupanda dirishani ikaanza tena,Nina uhakika Yule dereva alimtukana mjeda matusi yote ya hapa duniani ila kimoyomoyo.. Ile siku yule dereva hataisahau kamwe maishani.
Unakumbuka kisa chochote Cha wanajeshi na adhabu zao kwa raia pindi raia akijichanganya kwenye anga zao?
Hakuna kitu hapo, watz acheni uoga wa kijinga, ndo maana mnaonewaga kifala kisa ya uoga, mwanajeshi ni binadam kama binadam mwingine tuu, akijilengesha kwenye 18 unaweza kumua na akafa kama wanavokufa binadam wengineTena wewe ndiyo utakuja kuumizwa kabisa ukileta ujinga huo. Kule kuna watu wameshindikana na zaidibya wahuni, ukitaka ukae nao wale kwa amani punguza ujuaji
Unachoshupalia ni nini hapa?kwani huyo dereva hakutenda kosa?ushaambiwa ukitenda kosa kwenye eneo lao ww unakazania huwaogopi cha kufanya kakojoe pale kambini kwao utuletee mrejeshoSasa hivi sifa ni pesa sio upot, aje na upot wake aje na mwenye pesa zake hata Dem, alaf tuwafungulie mbwa wakali tuone ni nani atakaeng'atwa
yani hapo lazma pot ang'atwe na upot Wake maana hana pesa.
Wewe upo hapo nyuma ya keyboard unajiona ni jasiri sana, sasa mimi nakwambia nishawahi kukaa nao jamaa kwenye mafunzo huko walikuja watu watata sana na watukutu kupitiliza ila baadaye walikuwa wapole. Hao jamaa waone hivyohivyo na magwanda yao kama mabishoo ila wameshindikana. Kama unataka amani na kutetea haki yako kuwa mpole na upeleke malalamiko baadaye kwa wakubwa zao atashughulikiwa hata kupoteza kazi. Sasa wewe jitie una ujasiri wa waandamanaji wa UKAWA, utakuja kusimuliaHakuna kitu watz acheni uoga wa kijinga, ndo maana mnaonewaga kifala kisa ya uoga, mwanajeshi ni binadam kama binadam mwingine tuu, akijilengesha kwenye 18 unaweza kumua na akafa kama wanavokufa binadam wengine
Hahaha umenikumbusha kuhusu JITE UTE.Mimi nimesoma shule ya jeshi pale jitegemee jkt mgulani.
1. kuna siku moja kuna captain × alinichapa bakora nne kisa ninamzidi urefu! Yani alikuwa anafundisha nikamwambia sir naomba ruhusa niende chooni! Yani hapo hapo akabadilika kabisa, ety kwann unanizidi urefu alafu mimi nina nyota tatu???
Mzee zilitembea bakora, kuanzia siku hiyo nilikuwa namshangaaa sana yule afande.
02.Tukio la pili ni siku ya kwanza kwenda pale shuleni! Ilikuwa form five!
Aisee kwanza nilienda shule saa mbili ahsubui, nikamkuta MP anaitwa MSENGI. Akaniweka bakora nne, huwezi amini day one.
Nikaanza kwenda mdogomdogo, kuna sehemu wanaita smart area hurusiwi kutembea yani unatakiwa kupita nduki.. sikuwa najua.
Alooo alikuwa afande mmoja anaitwa kiyarunzi ni coplo hapo hapo nilikula bakora sita.
Aisee nikaanza kuona hii shule sio machozi yananilenga, huyo mdogomdogo mpaka class.
Kufika class namkuta captain shemahonge anafundisha kwa machungu nikagonga mlango mfululizo akasema unatutukana akampigia afande dani akaja mbio na bakora nne.akamwambka huyo kaja hapa anatukana
Mpige sjta....huwezi amini nikasema nikitoka humu ndani sirudi tena.. nikala sita kila mtu ananishangaaa nalio kisa mboko sita.
Nikaingia class nakakutana na wana nikawaadisia msanga.basi saa nne ikafika tukaenda canteen.
Sasa mwisho wa kuingia canteen na kutoka ni saa nne na nusu.
Mimi nilikuwa nakunywa supu mpaka saa nne na 40 aloooooh
Nilipigwa bakora za mgongo nikamwaga supu mbio nikasema huu ni usenge..nkasepa class
Nashukuru Mungu sikifuata.
Siku ya kwanza nilipigwa zaidi ya bakora 16
Ukiacha hilo la huyo Kapteni kukuonea hayo galiyobaki yote ni makosa na ilikuwa ni sahihi kabisa kutandikaa. Jitegemee kabla ya hujaanza kusoma na hata sare hamjapewa unasomewa sheria zote za shule, wewe inaonekana ulikwepa siku za mwanzo kuijua shuleMimi nimesoma shule ya jeshi pale jitegemee jkt mgulani.
1. kuna siku moja kuna captain × alinichapa bakora nne kisa ninamzidi urefu! Yani alikuwa anafundisha nikamwambia sir naomba ruhusa niende chooni! Yani hapo hapo akabadilika kabisa, ety kwann unanizidi urefu alafu mimi nina nyota tatu???
Mzee zilitembea bakora, kuanzia siku hiyo nilikuwa namshangaaa sana yule afande.
02.Tukio la pili ni siku ya kwanza kwenda pale shuleni! Ilikuwa form five!
Aisee kwanza nilienda shule saa mbili ahsubui, nikamkuta MP anaitwa MSENGI. Akaniweka bakora nne, huwezi amini day one.
Nikaanza kwenda mdogomdogo, kuna sehemu wanaita smart area hurusiwi kutembea yani unatakiwa kupita nduki.. sikuwa najua.
Alooo alikuwa afande mmoja anaitwa kiyarunzi ni coplo hapo hapo nilikula bakora sita.
Aisee nikaanza kuona hii shule sio machozi yananilenga, huyo mdogomdogo mpaka class.
Kufika class namkuta captain shemahonge anafundisha kwa machungu nikagonga mlango mfululizo akasema unatutukana akampigia afande dani akaja mbio na bakora nne.akamwambka huyo kaja hapa anatukana
Mpige sjta....huwezi amini nikasema nikitoka humu ndani sirudi tena.. nikala sita kila mtu ananishangaaa nalio kisa mboko sita.
Nikaingia class nakakutana na wana nikawaadisia msanga.basi saa nne ikafika tukaenda canteen.
Sasa mwisho wa kuingia canteen na kutoka ni saa nne na nusu.
Mimi nilikuwa nakunywa supu mpaka saa nne na 40 aloooooh
Nilipigwa bakora za mgongo nikamwaga supu mbio nikasema huu ni usenge..nkasepa class
Nashukuru Mungu sikifuata.
Siku ya kwanza nilipigwa zaidi ya bakora 16
Watu Kama wewe ndiyo mnakuwaga wapole Kama mmemwagiwa maji mkiwaona bakabaka. Ila kwa background mnaandika kishujaa Kama hivi.Mimi sikubaligi upumbavu, huyo mwanajeshi mshamba na njaa Kali angekuja kwangu aone, ningevomjibu dry sitishiwi bunduki Mimi, Wala sitishiwi kifo hata siku moja
Angeenda ailete hata Kambi nzima, siogopagi kufa Mimi, liwalo na liwe na ndo wangejua kweli hii Dunia kuna watu watata, sio Dunia, Tanzania kuna watu watata. Mimi ndio MWAMBA.
Hawa jamaa ni shida Kuna siku jamaa yangu alijichanganya huko kambini akapewa adhabu ya kuhamidha tofali 500 kuxitoa upande mmoja ma kuxipeleka upande mwingine akapambana na kuweza kuhamisha tofali 350 huku jasho likiwa limemtoka gafla akaonana na ndugu yake ambae ni mjeda na ana cheo kikubwa akamwelezea kosa na adhabu aliyopatiwa akawa anamuomba msaada huyo mjeda akasema nitakusaidia usijali hebu rudisha hizo tofali ilipozitoa nafikiri tatizo litakuwa limeisha! Da jamaa aliishiwa pozi
Dodoma makutupora iyo 2010 raia kapewa kisoda ajaze ndoo ya lita 20 maji umbali wa kama hatua 30 ivi kutoka bombani adi ndoo ilikowekwa.. Kwa kosa la kuzurura eneo la jeshiNakumbuka 2009 nikiwa ndani ya kigoma, nilipewa adhabu ya kujaza pipa kwa kijiko...
Ntaludi kumalizia but usiombe ujae angle za hao jamaa.
Uliza mtoni mtongani walivofunga mitaa kwa kosa la mwana jeshi kukabwa na kuuwawa relini... Usijidanganye kupiga mwana jeshi.. Labda uwe hukai mitaa hiyoWe bado mshamba!! Siku hizi mwanajeshi Hana maajabu yoyote akijichanganya anapigwa tu
Kaka usimalize maneno... Wako watu watata na wanajua mchezo ya hatari.. Ila ukiyaingia kwa wanajeshi Kua mpoleMimi sikubaligi upumbavu, huyo mwanajeshi mshamba na njaa Kali angekuja kwangu aone, ningevomjibu dry sitishiwi bunduki Mimi, Wala sitishiwi kifo hata siku moja
Angeenda ailete hata Kambi nzima, siogopagi kufa Mimi, liwalo na liwe na ndo wangejua kweli hii Dunia kuna watu watata, sio Dunia, Tanzania kuna watu watata. Mimi ndio MWAMBA.
[emoji1]Hawa jamaa ni shida Kuna siku jamaa yangu alijichanganya huko kambini akapewa adhabu ya kuhamidha tofali 500 kuxitoa upande mmoja ma kuxipeleka upande mwingine akapambana na kuweza kuhamisha tofali 350 huku jasho likiwa limemtoka gafla akaonana na ndugu yake ambae ni mjeda na ana cheo kikubwa akamwelezea kosa na adhabu aliyopatiwa akawa anamuomba msaada huyo mjeda akasema nitakusaidia usijali hebu rudisha hizo tofali ilipozitoa nafikiri tatizo litakuwa limeisha! Da jamaa aliishiwa pozi
Wajuaji Wenzio walipita eneo la jeshi pale Lugalo mida ya saa 12 jioni kigiza kimeshaanza kuingia,na Sheria ya like eneo halifuhusiwi watembea kwa miguu kukatiza mida mibovu(enzi hizo sijui siku hizi utaratibu upoje). Walikuwa wanapiga kigoma Cha Uruguay wakitokea kawe wanakatiza Lugalo wanaelekea kule juu makongo.We bado mshamba!! Siku hizi mwanajeshi Hana maajabu yoyote akijichanganya anapigwa tu
Watu kama ww ndo waoga balaa ila mkiwa mna type sasa mbwembwe nyingi, miaka ya nyuma walifunga mtaa wetu wote kisa mabomba yaliibiwa jeshini unafikiri mtaa mzima ni wajinga kutii kutotoka?Mimi Nina msimamo sitishiwi nyau, ukishaanza kigugumizi ndo wanakuchukulia poa, mwanaume ongea straight Kwa kujiamini na kunguruma kama simba, ikiwezekana unawatandika na maswali mpaka waone hii kichwa sio nyenzetu hii Wala sio ya kuchezea. Kudadeki mbona na salute wangenipigia.
Ilitokea wapi hii brother?Mpaka umuone mkubwa wao labda iwe tu ni bahati yako
Kama askari tu anazinguliwa na akitaka zinapigwa na hakuna anaefukuzwa kazi(kuna mjeshi alizinguliwa na polisi,akaenda kambini akawashitua wana,wana wakavamia kituo cha polis kikapigwa),na sikusikia mtu katimliwa
Jamaa wana adhabu kaliHawa Jamaa usiombe uingie kwenye 18 zao,utajuta kuwafahamu.
Siku moja Tulikuwa kwenye foleni ya kuelekea mjini,kuna jamaa wa Lori akaziba geti la kuingilia pale kambi ya Abdallah Twalipo uhasibu. MP akamfuata kistaarabu kabisa "mambo vipi Kaka?" Jamaa akaitikia "Safi kabisa afande". Afande akamuuliza hapa uliposimama si unajua Kama ni getini? Mwamba kwa kujiamini kabisa akaitikia ndiyo afande ila tatizo foleni haitembei,Sina jinsi, samahani sana.
Kama kawaida ya wanajeshi kujifanya wastaarabu kwenye matukio ya aina hii. Afande akamwambia sasa ndugu kwa kuwa foleni haiendi shuka tu hapa upumzike tupige stori,foleni ikitembea utaendelea na safari yako. Dereva wa Lori kwa mbwembwe akafungua mlango ashuke eti apumzike na wanajeshi. Hapo ndiyo 'ntiti' ulipoanza!!
MP akamwambia "kaka sijasema ushuke mlangoni,shukia dirishani" lilikuwa ni tukio la kuchekesha Sana kwa sisi wapita njia ila kwa lililomtokea lilikuwa ni tukio mbaya na la kufedhehesha.
Picha linaanza,gari anayoendesha jamaa ni Scania R 420,Chuma mpya kabisa ya Transit alafu imepanda hewani Kama farasi,imebeba mafuta inaelekea nje. Gari ikisimama dereva unamwona yule kuleee ghorofani. Sasa vuta picha dereva ameambiwa ashuke kupitia dirisha badala ya mlangoni. Sisi wengine wa pembeni Tulicheka Sana maana jamaa kwanza ni bonge alafu ili ashuke kwa kutumia dirisha inabidi ajikusanye awe Kama fungu la nyanya Kisha ndiyo atoe miguu nje. Ilimchukua karibia dakika 15 kushuka. Wakati huo MP alikuwa siriazi hacheki wala haongei. Yeye anamsubiri jamaa tu ashuke wapige stori. Dereva akadondoka chini Kama mzigo wa viazi mbatata vya Mbeya..Tiii!!
Suruali yote imechanika kwenye maungio ya miguu. Aliposhuka huku kijasho kinamtoka mjeda akaanza kupiga nae stori Kama hakuna kilichotokea "naona chuma imeshakunywa wese inasepa?" Dereva kinyonge akajibu yeah inaelekea Ndola,Zambia. Wakapiga stori Mara foleni ikafunguka magari yakaanza kutembea. Afande akamwambia dereva Sasa unaweza kwenda tu maana gari zinatembea. Dereva akatoa shukrani Kisha akaelekea kwenye gari yake asepe.
Cha ajabu wakati dereva anafungua mlango Mjeda akamwambia mzee baba si tulikubaliana tunapitia dirishani? Ahahahhaha kazi ya kupanda dirishani ikaanza tena,Nina uhakika Yule dereva alimtukana mjeda matusi yote ya hapa duniani ila kimoyomoyo.. Ile siku yule dereva hataisahau kamwe maishani.
Unakumbuka kisa chochote Cha wanajeshi na adhabu zao kwa raia pindi raia akijichanganya kwenye anga zao?
Anajifanya chizi😀Wewe upo hapo nyuma ya keyboard unajiona ni jasiri sana, sasa mimi nakwambia nishawahi kukaa nao jamaa kwenye mafunzo huko walikuja watu watata sana na watukutu kupitiliza ila baadaye walikuwa wapole. Hao jamaa waone hivyohivyo na magwanda yao kama mabishoo ila wameshindikana. Kama unataka amani na kutetea haki yako kuwa mpole na upeleke malalamiko baadaye kwa wakubwa zao atashughulikiwa hata kupoteza kazi. Sasa wewe jitie una ujasiri wa waandamanaji wa UKAWA, utakuja kusimulia
A Wapi mi sionewagi kipumbavu eti kisa mwanajeshi kwenye haki mi ni mkali Zaid ya Simba lazma haki itendekeWatu kama ww ndo waoga balaa ila mkiwa mna type sasa mbwembwe nyingi, miaka ya nyuma walifunga mtaa wetu wote kisa mabomba yaliibiwa jeshini unafikiri mtaa mzima ni wajinga kutii kutotoka?
aisee usiombe ww mbona yalipatikana mabomba siku hiyo hiyo.