Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Mar 4, 2010 #1 Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao. Attachments adhabu.jpg 47.7 KB · Views: 317
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Mar 4, 2010 #2 Huyo ndiye mwalimu mkuu wa shule niliyosoma
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Mar 4, 2010 Thread starter #3 Bujibuji said: Huyo ndiye mwalimu mkuu wa shule niliyosoma Click to expand... mkuu ulisoma Pakistan?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Mar 4, 2010 #4 Ndibalema said: mkuu ulisoma Pakistan? Click to expand... hapo ni kandahar....mwee
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Mar 4, 2010 #5 Wajomba nilifundishwa na mwalimu Dionese shule ya msingi alikuwa mkali sana lakini ya huyu mgoa imekuwa kali zaida!
Wajomba nilifundishwa na mwalimu Dionese shule ya msingi alikuwa mkali sana lakini ya huyu mgoa imekuwa kali zaida!
LINC Member Joined May 26, 2009 Posts 38 Reaction score 0 Mar 4, 2010 #6 Ndibalema said: Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao. Click to expand... Huyu mwalimu anatakiwa kupelekwa kule Kagera atoe adhabu kwa walimu wanaofanya uzembe wa kufelisha wanafunzi. naamini watanyooka badala ya kuwachapa viboko
Ndibalema said: Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao. Click to expand... Huyu mwalimu anatakiwa kupelekwa kule Kagera atoe adhabu kwa walimu wanaofanya uzembe wa kufelisha wanafunzi. naamini watanyooka badala ya kuwachapa viboko
Pearl JF-Expert Member Joined Nov 25, 2009 Posts 3,036 Reaction score 321 Mar 4, 2010 #7 eeeeeeeeeh huyu anawazimu?
O omwana Member Joined Mar 2, 2010 Posts 46 Reaction score 0 Mar 4, 2010 #8 LINC said: Huyu mwalimu anatakiwa kupelekwa kule Kagera atoe adhabu kwa walimu wanaofanya uzembe wa kufelisha wanafunzi. naamini watanyooka badala ya kuwachapa viboko Click to expand... Hawezekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama ni kweli huyu mwalimu anatakiwa ashitakiwe. Maana akiwakanyaga na hiyo toyo take si vidole vitapondeka pondeka jamani.
LINC said: Huyu mwalimu anatakiwa kupelekwa kule Kagera atoe adhabu kwa walimu wanaofanya uzembe wa kufelisha wanafunzi. naamini watanyooka badala ya kuwachapa viboko Click to expand... Hawezekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama ni kweli huyu mwalimu anatakiwa ashitakiwe. Maana akiwakanyaga na hiyo toyo take si vidole vitapondeka pondeka jamani.
nguvumali JF-Expert Member Joined Sep 3, 2009 Posts 4,927 Reaction score 1,342 Mar 4, 2010 #9 maisha yangu yote nilitamani kuwa mwalim, nasababu yakuhitaji kuwa mwalimu ni tabia kama hizi, za kuwafunza adabu watoto wasiofunzwa na wazazi wao.....unaweza kukuta hao watoto ni wachafu hawajaoga.
maisha yangu yote nilitamani kuwa mwalim, nasababu yakuhitaji kuwa mwalimu ni tabia kama hizi, za kuwafunza adabu watoto wasiofunzwa na wazazi wao.....unaweza kukuta hao watoto ni wachafu hawajaoga.
Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 747 Mar 4, 2010 #10 Ndibalema said: Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao. Click to expand... Sinema hiyo aka bridge manyoya!!!
Ndibalema said: Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao. Click to expand... Sinema hiyo aka bridge manyoya!!!