Zipi kwa mfano..?? Nilichotaka kusahihisha ndio hicho kwamba jibu la nini utafanya, huwezi kuwa nalo kabla. Jibu huwa linapatikana pale pale unapowakuta wanafanya yao.Mkuu nimetumia logic(based on experience) lakini kama unaona siko sahihi leta nondo zako hapa then tufanye comparison
Mkuu sijaoa lakini nazungumza kitu accordingly my experience..Zipi kwa mfano..?? Nilichotaka kusahihisha ndio hicho kwamba jibu la nini utafanya, huwezi kuwa nalo kabla. Jibu huwa linapatikana pale pale unapowakuta wanafanya yao.
Luckily enough uweze kufanya ulichokiandika kwny mada. Ila sio dhambi kujikuta unashindwa pia na kufanya maamuzi mengine na hata kuua. Thats why nilikuuliza kama umeshaoa/olewa.
I mean jibu sahihi la nini kitatokea baada ya kuwakuta, huwezi kulipata ukiwa katika situation ya kawaida. Utakapowakuta laivu, ndo utapata jibu sahihi depending pia uliyemkuta ni mkeo/mumeo au ni mpenzi tu wa kawaida (wote hao wana maumivu tofauti).
Anhaa, basi oa kwanza mdogo wangu. Hapo ndo utakuwa na moral authority ya kudiscuss utafanya nini pale utakapomfumania mkeo.Mkuu sijaoa lakini nazungumza kitu accordingly my experience..
Sawa mtu unaweza kupata jibu kwa kutumia logic(baada ya kuona tukio husika) according to your explain na ndio hicho nachokielezea kikubwa ni kuwa na moyo mgumu kidogo kwa mtendwa kwa maana ukiwa na moyo wa kawaida nadhani unaweza leta vurugu on the spot event.. Ila ukiweza hapo basi adhabu yako utaitoa kikamilifu 100% kwa kuwa umeona na umenyamaza unahisi mwenza wako anachukuuliaje pengine you may find killing herself baada ya tukio na ukimya wako
Kuacha ni kitu kigumu sana ukiona watu wamehachana jua wana roho ngumu sana lakini na waovuendelea kuumia moyoni kuna washikaji wengi wanajifanya kuachana lakini wana wivu kuna muda wanaenda usiku kwa demu walie achana kufumaniaDawa Nzuri kabisa kuliko zote ni kuachana nae. Hautojutia. Kila Mtu ataendelea na maisha yake.
tehe tehe tehe unatokea kanda Maalum nini wewe?Piga risasi ya kwenye paji la Uso.
kwa kifupi kuachana ni jambo hatarishi sana hii mbinu unaweza kufa kwa regarding bado unampenda mwenzi wako utakuwa unaangaika tu muda wote kujua yuko wap na nan na wanafanya nnKuacha ni kitu kigumu sana ukiona watu wamehachana jua wana roho ngumu sana lakini na waovuendelea kuumia moyoni kuna washikaji wengi wanajifanya kuachana lakini wana wivu kuna muda wanaenda usiku kwa demu walie achana kufumania
Kwa hiyo unafikiri hii thread imelenga wanandoa tu!? mkuu kuoa au kuoelewa haimanishi mmeshibana sana ndio maana mlioko kwenye ndoa mnasalitiana kuliko sisi tulioko huku kwenye u-gf na u-bf kwa mantiki hiyo basi unaweza ukawa upo kwenye ndoa ukasalitiwa then still ukafanya hivi na maisha yakasonga tuAnhaa, basi oa kwanza mdogo wangu. Hapo ndo utakuwa na moral authority ya kudiscuss utafanya nini pale utakapomfumania mkeo.
Kama umeweza kumuacha girlfriend (kma ulivyosema una experience), you must understand that girfriend sio mke. Unaweza ukamuacha asubuhi na jioni ukapata mwingine na still ukawa happy tu. Those days I had 5 of them kwa pamoja, wakawa wanapishana tu ghetto, ila nikaja kuoa mtu mwingine kabisa.
So, kila mtu huwa anapata majibu yake palepale kwny tukio. Na majibu ya nini cha kufanya baada ya kumfumania mpenzi wako HAYAFUNDISHWI DARASANI AU VIJIWENI. Kila mtu huwa ana jibu lake mwnyw tatizo likishamfikia. Hata wewe UTALIVUKA DARAJA UTAKAPOLIFIKIA, so omba Mungu uweze kufanya hivyo, ila ukishindwa pia sio dhambi, ni hasira tu.
Elewa vizuri kuanzia post yng ya kwanza. U'll know wat I mean.Kwa hiyo unafikiri hii thread imelenga wanandoa tu!? mkuu kuoa au kuoelewa haimanishi mmeshibana sana ndio maana mlioko kwenye ndoa mnasalitiana kuliko sisi tulioko huku kwenye u-gf na u-bf kwa mantiki hiyo basi unaweza ukawa upo kwenye ndoa ukasalitiwa then still ukafanya hivi na maisha yakasonga tu