adhabu gani kubwa hupewa mbunge akipatikana na hatia ya kudharau bunge??

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,115
Sio mara ya kwanza kusikia mbunge anatafutwa na kamati ya bunge poppte pale alipo. Anaweza tolewa na ndege mwanza had Dodoma kwa gharama kubwa sana harafu akaulizwa ulifanya hivi na hivi akijibu ndio anafungiwa kuhudhuria vikao kadhaa kisha anaambiwa wasalimie watoto.nafaham kuna kuvuliwa ubunge japo si kwa hizi sarakas za mitandaon. Sasa kuna sababu gani kutumia nguvu kubwa huku huyu mtu hana madhara kwa jamii kias cha kutishia usalama wa raia??

Mwiz anatafutwa popote alipo ili asije kuwaibia wengine, muuaji asije akaua wengine. Sasa huyu mbunge nini hatari yake hadi ndege zitumie mamilion kumuuliza tu unakubali au unakataa.

Kwa ukweli sion faida ya huu Mhimili kufanya hz mbwembwe. Mbona mhimili wa mahakama sion ukifanya haya?? Au wa bunge ndio mizizi imesambaa huku na kule huku wa seeikali ukijimbia chini zaid?? Sasa huu wa mahakama nafikiri mizizi yake ni kama mhogo. Pigo moja tu unao mkononi!

Nisiwachoshe ila nauliza kuna uwiano wa nguvu inayotumika na adhabu inayotolewa??
 
Kudharau Bunge au mahakama au Baba yako adhabu ni hiyohiyo moja: unanyang'anywa nafasi hii kwa muda utakaotosha wewe kubadilika na kuheshimu Bunge au mahakama au baba yako.
 
Unamtoa mtu mgonjwa hosipitali na baiskeli ati akahojiwe kumdharau spika.... What the hell is this. Yeye alipo kaa India miezi nani alimuita bungeni? Kweli kipindi hiki tutaona rangi zote
 
Back
Top Bottom