Wabongo kwa kulalama? Then no action. SHWAIN
nakuona mtoto wa manji mjukuu wa bakhresa!kila mtu abebe msalaba wake. Ulipozaa ulijua kuna shule na wajibu mwingine kwa mtoto wako. Daladala ni biashara kama zilivyo zingine kwa wakubwa na wadogo. Ukitaka mtoto wako asipewe shida na kondakta anza kwanza kumpenda mwanao. Mpe nauli ya kutosha kulipa daladala. Kama unashindwa kumtimizia mtoto unasubiri wenye biashara ya daladala wamtimiizie atanyanyaswa tu. Kwa wale wanaolipa nauli kamili ya daladala hawapati adha ya kusukumwa. Jaribu kwenda uganda hakuna nauli ya dent wala mkubwa wote nauili moja na ni level seat. Mpende mwanao kabla hujalazimisha wengine kumpenda!
amini isamini watoto wanateseka sana mana wanayanyaswa na watu wenye umri sawa na wazaz wapo vituoni na kwenye madaladala cha ajabu wanajifanya hawaoni, nalishawahi kumtandika konda mmoja stesheni pale kamsukuma mtoto hadi akaanguka nilimpa makonde kisawasawa huwa sipendi upuuzi
kila mtu abebe msalaba wake. ulipozaa ulijua kuna shule na wajibu mwingine kwa mtoto wako. daladala ni biashara kama zilivyo zingine kwa wakubwa na wadogo. ukitaka mtoto wako asipewe shida na kondakta anza kwanza kumpenda mwanao. mpe nauli ya kutosha kulipa daladala. kama unashindwa kumtimizia mtoto unasubiri wenye biashara ya daladala wamtimiizie atanyanyaswa tu. kwa wale wanaolipa nauli kamili ya daladala hawapati adha ya kusukumwa. Jaribu kwenda Uganda hakuna nauli ya Dent wala mkubwa wote nauili moja na ni Level seat. Mpende Mwanao kabla hujalazimisha wengine kumpenda!