Mnamo tarehe 29 April 1982 taarifa ya habari ya saa mbili usiku ilisema hivi nanukuu-Rais Nyerere amawafukuza kazi maofisa tisa wa mamlaka ya usitawishaji makao makuu CDA kwa makosa kadhaa ikiwemo wizi na na hujuma mbalimbali katika mamlaka hiyo. Waliofukuzwa ni Moses Kagya, Molleli,Peter Mavunde, Kitonka, Mruma ADEN RAGE n.k.
Akiwa ni clearing na forwarding clerk katika mamlaka hiyo Rage alituhumiwa kwa Ku-diverge furniture za CDA toka Zimbabwe na kupeleka kwingine au kuuza tuhuma hiyo ndiyo ilimfukuza kazi niseme alifukuzwa kazi CDA kwa wizi.
Tuhuma kama hizo ndizo zilizopelekea kufungwa jela akiwa ni katibu mkuu wa FAT japokuwa alitoka kwa rufaa.
Kifupi ADEN RAGE HAFAI KUWA KIONGOZI, Ni aibu kwa Tanzania kuwaweka watu kama hao kuwa viongozi, ni aibu kwa wanyamwezi wa Tabora mjini eti kumchagua awe mbunge wao, ni aibu iliyokithili kabisa.
.....ni aibu kwa wanyamwezi wa Tabora mjini eti kumchagua awe mbunge wao, ni aibu iliyokithili kabisa.

tabora mjini kuna masalia wengi sana, ndiyo maana kuna ka umwinyi mwinyi na huo huo ndiyo ukamfanya aden apenyeze rupia na kupata ubunge. Yes ukiongea wananyawezi halisi nenda Sikonge na ukipenda nyoosha kama km 12 utafika Ipole kata ya CDM.Nikikutukana utachukia? WANYAMWEZI WA TABORA MJINI? Umefika Tabora wewe na ukaona kumejaa Makabila mangapi pale? Una uhakika wanaomchagua ni Wanyamwezi tu wa Tabora Mjini? Kwa nini usiseme Watanzania wa Tabora Mjini?
Tabora mjini imejaa watu wengi sana wa kuja na Wenyeji si wengi kama unavyotaka kuwaelewesha hapa na mfano hai ni huyu Rage, Juma Kapuya, Wahindi na Waarabu , Wachaga kibao nk.
Sasa kusema waliomchagua ni Wanyamwezi wa Tabora, hao wengine huwaoni? Msula eve 🙂 hehehehee!!!!.
Siku nyingine jifunze kuandika UKWELI maana walau ingelikuwa SIKONGE, tungelisema sawa ni Wanyamwezi wengi ila Tabora mjini, Wakuja ni Wengi ambao wengine hujiita Wanyamwezi tu ila kumbe ni Watusi wa Rwanda/Burundi, Wanyanyembe, Wasumbwa nk.
Halafu ukituandika Wanyamwezi, anzia herufi kubwa........
tabora mjini kuna masalia wengi sana, ndiyo maana kuna ka umwinyi mwinyi na huo huo ndiyo ukamfanya aden apenyeze rupia na kupata ubunge. Yes ukiongea wananyawezi halisi nenda Sikonge na ukipenda nyoosha kama km 12 utafika Ipole kata ya CDM.
Hapo ndiyo utakuwa wanyawezi (magosya ga mpasa) -- utanikuta nitakupa ugali ule, viburudisho vipo :kimpumu, kangara au wanzuki chaguo lako, pia utakuwa na uhakika wa kula na kulala - ukiwa mtani wangu basi tutakupa na mtoto wa kinyawezi bila mahari.
kasula aka wooo.........:becky: