AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,871
- 5,563
Nikiwa kama mwanaTabora nasikitika sana jinsi Aden Rage anavyozidi kututia aibu,lakini historia ya Tabora inaonesha kuwa hakuna mbunge anayeshinda awamu mbili mwisho wake ni 2015.
Ndugu Abdala kwa kumbukumbu zangu Rage alitoka kwa msamaha wa Rais lakini rufaa yake iliendelea kusikilizwa na hatimaye akashinda ila ajue 2015 ndiyo mwisho wake Tabora.
Mkuu Sikonge Wanyamwezi Tabora mjini tupo.
![]()
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Huyu Rage akiwa katibu mkuu iliyokuwa FAT kuna wakati Yanga ilifika 8 bora katika ubingwa wa afrika kwa kifika hatua hiyo walipewa pesa fulani hele hizo zilipotea hivihivi na Rage alihusika katika upotevu huo.
Pia hele za rambirambi za Malehemu Mafisango ziliyeyuka hivi hivi chini ya uongozi wa Rage,
Hata hela za kuuzwa Okwi ni maluweluwe tupu chini ya huyu mtu Rage
Nina uhakika wa % 100 kama jimbo la TABORA mjini lingekuwa linang`oleka basi huyu mtu angeling`oa akaliuze
Wanyamwezi akili zao zinawatosha wao tu , sijui wanafikiri kwa kutumia makalio, wamechagua mbunge mbovu kaja huku Dodoma kwenye inchi yetu takatifu mtu wao huyo amalinajisi bunge, kwa vipi wameweza kuchugua mbunge mbovu kiasi hicho kisa ni virusha vya shillingi mbili mbili walizokuwa wanapewa?
Asante kwa kumbukizi hii, ila naomba kuweka kumbukumbu sahihi. Rage hakutoka kwa rufaa bali kwa msamaha wa Rais Kikwete na baada ya kutoka jela ndipo alikata rufaa na kushinda.Mnamo tarehe 29 April 1982 taarifa ya habari ya saa mbili usiku ilisema hivi nanukuu-Rais Nyerere amawafukuza kazi maofisa tisa wa mamlaka ya usitawishaji makao makuu CDA kwa makosa kadhaa ikiwemo wizi na na hujuma mbalimbali katika mamlaka hiyo. Waliofukuzwa ni Moses Kagya, Molleli,Peter Mavunde, Kitonka, Mruma ADEN RAGE n.k. Akiwa ni clearing na forwarding clerk katika mamlaka hiyo Rage alituhumiwa kwa Ku-diverge furniture za CDA toka Zimbabwe na kupeleka kwingine au kuuza tuhuma hiyo ndiyo ilimfukuza kazi niseme alifukuzwa kazi CDA kwa wizi. Tuhuma kama hizo ndizo zilizopelekea kufungwa jela akiwa ni katibu mkuu wa FAT japokuwa alitoka kwa rufaa. Kifupi ADEN RAGE HAFAI KUWA KIONGOZI, Ni aibu kwa Tanzania kuwaweka watu kama hao kuwa viongozi, ni aibu kwa wanyamwezi wa Tabora mjini eti kumchagua awe mbunge wao, ni aibu iliyokithili kabisa.
Mnamo mwaka 2011 alipanda na bastola jukwaani wakati akimnadi mgombea wa ccm Pita Kafumu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la igunga kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa mbunge wa igunga.Mnamo tarehe 29 April 1982 taarifa ya habari ya saa mbili usiku ilisema hivi nanukuu-Rais Nyerere amawafukuza kazi maofisa tisa wa mamlaka ya usitawishaji makao makuu CDA kwa makosa kadhaa ikiwemo wizi na na hujuma mbalimbali katika mamlaka hiyo. Waliofukuzwa ni Moses Kagya, Molleli,Peter Mavunde, Kitonka, Mruma ADEN RAGE n.k.
Akiwa ni clearing na forwarding clerk katika mamlaka hiyo Rage alituhumiwa kwa Ku-diverge furniture za CDA toka Zimbabwe na kupeleka kwingine au kuuza tuhuma hiyo ndiyo ilimfukuza kazi niseme alifukuzwa kazi CDA kwa wizi.
Tuhuma kama hizo ndizo zilizopelekea kufungwa jela akiwa ni katibu mkuu wa FAT japokuwa alitoka kwa rufaa.
Kifupi ADEN RAGE HAFAI KUWA KIONGOZI, Ni aibu kwa Tanzania kuwaweka watu kama hao kuwa viongozi, ni aibu kwa wanyamwezi wa Tabora mjini eti kumchagua awe mbunge wao, ni aibu iliyokithili kabisa.