Mnamo tarehe 29 April 1982 taarifa ya habari ya saa mbili usiku ilisema hivi nanukuu-Rais Nyerere amawafukuza kazi maofisa tisa wa mamlaka ya usitawishaji makao makuu CDA kwa makosa kadhaa ikiwemo wizi na na hujuma mbalimbali katika mamlaka hiyo. Waliofukuzwa ni Moses Kagya, Molleli,Peter Mavunde, Kitonka, Mruma ADEN RAGE n.k.
Akiwa ni clearing na forwarding clerk katika mamlaka hiyo Rage alituhumiwa kwa Ku-diverge furniture za CDA toka Zimbabwe na kupeleka kwingine au kuuza tuhuma hiyo ndiyo ilimfukuza kazi niseme alifukuzwa kazi CDA kwa wizi.
Tuhuma kama hizo ndizo zilizopelekea kufungwa jela akiwa ni katibu mkuu wa FAT japokuwa alitoka kwa rufaa.
Kifupi ADEN RAGE HAFAI KUWA KIONGOZI, Ni aibu kwa Tanzania kuwaweka watu kama hao kuwa viongozi, ni aibu kwa wanyamwezi wa Tabora mjini eti kumchagua awe mbunge wao, ni aibu iliyokithili kabisa.