Tunasubiri "Malkia wa Nyuki" atujengee
Wana JF ni marufuku kumuuliza Rage maswali magumu, hasa yahusianayo na ujenzi wa uwanja
ahadi aliyoitoa bwana Rage ni kwamba upembuzi ungekuwa umekamilika tangu mwaka jana,sasa ninchouliza je huo ipembuzi yakinifu bado unaendelea au ndo Utopian kama kawa?
Malkia wa nyuki hana lolote mkuu!
Muongo wewe, mbona nilimuona ana nyuki? au hawaumi tena!