Adebayor Family drama part 2

Adebayor Family drama part 2

We si unaona hata Barack Obama alivyotusua na kuwa Rais wa Amerika basi kila Mkenya akaanza kujipendekeza...

Wapo viongozi wa serikali ya Kenya waliodiriki kujiaminisha kuwa Obama ataikumbuka Kenya kwa kuwa na asili tu ya huko...

Lakini ajabu kabla ya kuwa rais hakuna Mkenya aliyekuwa akithamini maisha na harakati za Obama...

Hao ndio waafrika na drama zao.
Tusua kwenye familia uone kuna watu watakuja nakusema wao ni ndugu zako na wataeleza historia ya familia yenu yote.
Chezea kutusua wewe.
 
Back
Top Bottom