how comes vitu vyako vya thamani unaviweka nyumbani kwa mama ( kwenye nyumba ya familia wakati una kwako) hata kama hiyo nyumba umewajengea sio sahihi..
pili why mdogo wako aibe vitu vidogo vidogo kama jezi, njumu, psp, wakati kaka yake una uwezo wa kumnunulia kila anachotaka.. au alikuwa anamnyima.
kuna untold story kwenye hizi details

Mkuu hebu jaribu kuwa GT japo kidogo...
Kama kaka mtu aliweza kumsafirisha mdogo mtu hadi kwa academy ya soccer huko France, unaanzaje kufikiria kuwa huenda kaka mtu hakuwa akimtunza mdogowe?
Familia ya Adebayor ina matatizo mkuu na aina hii ya matatizo ipo kwa familia nyingi za Kiafrika kwa wanafamilia kutumbua nankufuja mali za mwanafamilia aliyefanikiwa...
mi pia naona kabisa hii familia shida na afrika wengi tuna haya matatizo hasa mmoja akitusua wengi wao hawana shukrani ht kidogo na si adebayo peke ake
wengi sana ni victims wa hizi mambo za ndugu sema wengine wako kimya
We si unaona hata Barack Obama alivyotusua na kuwa Rais wa Amerika basi kila Mkenya akaanza kujipendekeza...
Wapo viongozi wa serikali ya Kenya waliodiriki kujiaminisha kuwa Obama ataikumbuka Kenya kwa kuwa na asili tu ya huko...
Lakini ajabu kabla ya kuwa rais hakuna Mkenya aliyekuwa akithamini maisha na harakati za Obama...
Mwizi hakosi cha kuiba atakwiba hata kopo la kuendea msalani.Nadhani kwa kukiri dogo picha inajiweka wazi penye familia nyingi za kiafrika tunakutana nayo hayo.