sidhani kama wanatawi dar ila partner wao wa b'ness tz ni shirika la posta. Unachoweza kufanya ni ku-track hiyo parcel yako iko wapi, jamaa wana-update kila wakati hata delivery confirmation wanatuma kwa njia ya email. Ingia kwenye website ya USPS au posta tanzania then nenda kwenye track utaweka codes ambazo zipo kwenye risiti uliyopewa wakati wakutuma. Inategemea destination ya parcel yako pia. Sijui kama scenario yako inasolvika kihivi!