Mhh...we n mzee mkapa nn!!!...mbna uko serius sana!!!...
Umeshapata breakfast!...
Heri wewe mkuu addicted to phone,wengine wetu wakifungua miyo yao kukuambia kinacho wa addict Loo.. Utakimbia utuwachie jukwaa.Wasalaam,wakubwa mooni..
Sio wakat tunakua na mada zenye maudhui ya moja kwa moja kuna wakat tunafanya iv..
Am so addicted to my phone kiasi cha naweza kushinda a whole day nikibonyeza apa pale...nawaza siku ikizingua sina mkwanja wa kunnua nyngne naeza nkafa kwa kihoro..
Nna hakika ningekua napenda kusoma vitabu vitakatifu vya mwenyez mungu basi ningekua naiona pepo ileee...
Ijumaa kariim.....
Tufanye mpango na sie mwaka huu tununue ipad tuachane na hizi torchi
priorities tu,siku ukiwa na kazi serious ya kufanya au mitihani hivi,utaacha tu,unless u don't even value kazi na mafanikio yako mengine yanayohitaji concertration from time to time
Mi nipo addicted na jf, yani hapa nna njaa nawaza kwenda kunywa chai kila nkitaka kulog out nahisi uvivu....
Sure!...n kwel ila ukiongelea priorities ndo na yenyew ina chip in...
Hahah...umenchekesha..et km nafanya kwa wahindi....looh pale utakua bize utake uctake...
haha,yani wale hadi muda wa kula anaweza kukusimamia