thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 267
Ok...tel m what u do...when t comes to time management
hakuna kulalamika thats it
Ok...tel m what u do...when t comes to time management
mbona home page yako siielewi tigopesa nayo ni app
na jf kwanini umei download mara mbili
Jf is addictive to me,
kumbe unamkumbuka Mungu basi tumia hiyo hiyo simu kusoma neno lake, na kisha muombe akuongoze uachane na huo ujinga..
hata mimi nilikuwa addicted kipindi fulani na simu, ikawa ni kutwa kucha, yani hata ufanisi wa kazi ukapungua..nyumbani nikawa sijishughulishi na nyumba, jikoni siingii na ht wtt sina time nao..nikajishitukia mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi, kwa hivo nikaamua kuachana na ile simu nikaigawa halafu mimi nikaongeza kisimu cha tochi nikawa nazo 2..hizi hazina cha internet wala nn, yani ni msg na call ndio nazijua..upuuzi mwingine hamna..
mwanzoni ilinipa tabu kidogo nikatamani kununua tena simu yenye makorokoro, nikawa anona maisha magumu bila network hasa hii mitandao ya kijamii...lkn nikakomaa sijanunua, nikasema this decision is right and i wont go back again..
n ahadi muda huu nimeshazoea kabisa, nyumbani sina hata laptop yani kwa kifupi nikawa nyumbani nakuwa mama nafanya kazi zangu nakaa na wanangu na nikimaliza usafi/kupika napumzika/nalala..naona niko huru sasa kwa kuachana na simu..
mambo haya ya social media nayafanya ofisini tu nikiwa idle, baaaaaaas..nikizima computer na kwenda home hakuna tena access hadi nirudi kwa ofc..na hata hapa ofcn wakati mwingine nasoma vitabu badala ya kuingia kwenye haya makitu, nimesoma vitabu vingi ambayo vimenipa elimu na kunifanya mtu iamara zaidi..
jitahidi uondoke huko uliko, hizi social media ni ulevi kama ulevi mwingine, yaani ukizoea unakuwa km mlevi aliyekosa pombe na kuanza kuweweseka..ila UKITAKA UNAWEZA KUACHA, ni ngumu lkn inawezekana..
Wasalaam,wakubwa mooni..
Sio wakat tunakua na mada zenye maudhui ya moja kwa moja kuna wakat tunafanya iv..
Am so addicted to my phone kiasi cha naweza kushinda a whole day nikibonyeza apa pale...nawaza siku ikizingua sina mkwanja wa kunnua nyngne naeza nkafa kwa kihoro..
Nna hakika ningekua napenda kusoma vitabu vitakatifu vya mwenyez mungu basi ningekua naiona pepo ileee...
Ijumaa kariim.....
wala usiumize kichwa, simu zimeachanisha watu, zimevunja ndoa, zimefarakanisha wapenzi..wewe sio wa kwanza aisee!!Nahc mm ni wale wa mwanzo mwanzo kabsa...
Nahc mpk hii cm kuna ck itaomba poo...ndo mana apa natafuta mteja ikamfie ukoo m nvute brand nyngne maana nahc ata proccesor itakua taaban....no rests
enheeee app yao inafanya kazi aje tell me niko na katochi kumbe napitwa lol
Wali..ugali...samak..mihogo..tehe if u mean wat i usualy eat