Addicted to Jamii Forum

Mmh addicted to jamii forum? kwa mtazamo anaoonekana huyu nadhani ni addicted na movies maana mikono imetulia na earphone zikifanya kazi. imetulia then

did you know that you can also post videos at JF???
 
Mmh addicted to jamii forum? kwa mtazamo anaoonekana huyu nadhani ni addicted na movies maana mikono imetulia na earphone zikifanya kazi. imetulia then
We unajua kuchunguza, kumbe ee
 
daaah nlijua mi mwenyewe aki kumbe tupo wengi yani siku nkipata kutoingia kabisa jf lazima panadol zinihusu lov u jf. Mc u sana sana juzi kila nkiingia nabambia tangazo tuu jion ilifika wadau nikajisogeza taratiiib phamace nkarejea om na mipanadol yangu lol! yan.
 
sheikA ASANTE MI NAMPENDA TU kwanza chmbani kwetu ulifata nini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…