Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
number ya barmaid?!!!!! what for? unampigia kumuuliza kama bia zimepoa au? SIJAWAHI KUWA NA NAMBA YA BAA MEDI!
Ungeniambia wahudumu wa hotel sawa, enzi za ujana wakati nachakarika nilikuwa na namba za wahudumu za kumwaga kila mji niliowahi kulala, zinasaidia sana kuweka booking!
OK. Zinasaidia sana kuweka booking...!
sasa zako mkuu barmaid unaweka booking ya bia za moto?
Bonga Bar ya Ilala miaka ile ya mwishoni 1990s.......balaa
Mkuu hapo umenikumbusha mbali kabisa. Walikuwa hawavai uniform. Utadhani mteja anakuja kujipendekeza kwako kumbe ndio barmaid. Yule mchaga alikuwa anajua kuwachagua ma barmaid. Nasikia alikuwa anazunguka Bar nyingi na kuwaleta pale waliokithi "TBS" fulani

Wateja wengi waliteketea pale!