Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimezindua rasmi kampeni zake hii leo, ambapo mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, Hamad Rashid Mohamed, ameahidi kuimarisha mfumo wa uvuvi ili kuongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar.
Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Zanzibar kwa upande wa Unguja, zilizofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti.
Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Zanzibar kwa upande wa Unguja, zilizofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti.