ADC to Honorable X: Maana yake nini?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,388
81,212
Wapendwa,

Kirefu cha ADC ni nini kikirumika kama hivi. ADC HONORABLE X ambaye ni Waziri Kitu kama msaidizi hivi, specifically ni nini na wajibu wake ni nini.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Wapendwa kirefu cha ADC ni nini kikirumika kama hivi. ADC HONORABLE X ambaye ni Waziri

Inategemea, ila ntakupa kwa uelewa wa kijeshi na uongozi , hiyo hutumika katika jeshi ama avisa mwanamaji anawajibikaqwa afisa mwenye cheo cha juu, inasimamia "AIDE-DE-CAMP" is just one of the general ranks in the armed forces. Sasa hiyo kwa mfano wako anaweza akawa ADC HONORABLE X MINISTER blah blah zingine utamalizia. ama bongo hapa utakuta mtu anaitwa " Waziri wa wizara ya sirikali ya Utanabanuku Honorable Dr,Eng,Luten Kanali General X
 
Nadhani uko sahihi kabisa. AIDE nadhani inatoka kwa aid, msaidizi! Nilitaka kumuona waziri wakasema omba appointment kwa ADC wake
 
Back
Top Bottom