Adam na Hawa au Adam na Eva?

Shetani yuko kazini . huyu kauliza vizuri anataka kujua ili imani take ikue. Hamjamtrndea haki. Shetani kazi yake ni kuhakikisha neno LA Mungu linahagifishwa..
 
itakuwa eva ni jina la hawa la ubatizo...............
 
Reactions: sab
Nadhani kama sikosei eva ni kwa lugha ya kizungu yaan "eve" na kwa kiswahili ni "hawa" so eve ni utofaut wa lugha lkn ni huyo huyo hawa...kama nmekosea m2 anisahihishe!!!!
 
Shetani yuko kazini . huyu kauliza vizuri anataka kujua ili imani take ikue. Hamjamtrndea haki. Shetani kazi yake ni kuhakikisha neno LA Mungu linahagifishwa..
You are right ,
 
Ukishajua majina itakuaje sasa....au unataka kufanya zindiko??
Kama huna jibu basi tulia mkuu, maana swali halijibiwi kwa swali bali swali kwa jibu mkuu
 
Eva alikuwa mke wa kwanza alipozingua ndo Mungu akampa usingizi Adam akamtoa ubavu akamtengeneza Hawa
 
Reactions: sab
Eve ni kiingereza kwa kiswahili Hawa. Soma biblia zote za kiingereza huoni Hawa ila Eve. Na kuna majina mengi tu ambayo yanasomeka kwa kiingereza vingine na kiswahili vingine.
 
Reactions: sab
Tuna mapokeo mengi kwenye hizi dini lakini tofauti ya lugha ndio msingi wa hizo tofauti... Hawa ni kiswahili /kiarabu, wakati Eva limetoholewa kutoka kwenye kiingereza Eve... Kama ilivyo kwa kaini-cain nknk
 
Kwani ukishajua itakusaidia vipi?
 
Hawa ni jina la lugha ya Kiswahili.
Eve au Eva ni jina la Hawa kwa Kiingereza.
Soma.
Mwanzo 3 : 20.
katika Biblia ya Kiswahili na ya Kiingerza utaona.
 
Umesoma biblia ya kiingereza?? Wameandika hawa??
 
Reactions: sab
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…