Adam na Hawa au Adam na Eva?

Adam na Hawa au Adam na Eva?

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,746
Reaction score
4,350
Habarini jamani ,

Baada ya salamu naomba nisiwachoshe wala tusichoshane na maneno mengi, natua moja kwa moja kwenye mada ,

Katika kusoma soma kwangu Biblia toka kwanzo hadi nilipoishia Mwenyezi Mungu aliumbwa Adamu na Hawa , Hivyo hivyo katika kupitia pitia Qur-an katika kipengele hicho hicho cha uumbaji wa Mungu , aliumba Adamu na Hawa,

Sasa nasikia wengine wakisema Mungu aliumba Adamu na Eva, huyu Eva ni yupi na mbona hata Biblia haijamtaja Adamu na Eva bali ni Adamu na Hawa, huyu Eva amekujaje labda?
 
Utayapata wapi kama vitabu vyote umesoma hujaona...subiri siku yako itafika kama matendo yako yanampendeza Mungu utaonana nae akuelezee
Kwa uelewa wako kuhusu hivi vitabu umesha ona katika uumbaji wa Mungu ameumba Adamu na Eva?
 
Adamu na hawa hadithi Kama za sadiki na chitemo,mamba na kima,chopeko na mnofu,mfalme anataka apelekewe la!la!la!
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom