*♥ADAM NA EVA♡*

*Adam na Eva wangekua wachina dhambi isingekuwepo maana badala ya kula lile tunda wangemla na yule nyoka
Je inavyosemwa na kuandikwa kwenye vitabu mbali mbali ya historia kuwa fuvu la mtu WA kale/watu WA kale lilipatikana oldpai gorge na kuwa watu WA kwanza waliishi ngorongoro ina maana Adam na Eva walikuwa wamasai?
 
Back
Top Bottom