Adam mchomvu,b12 na diva

Wana-fit sana kufanya kazi na East African Television/Radio one,
waje huku tuendelee kupata flavour,

sijui kama wataweza maana walivyokuwa na majungu ya kuponda media nyingine laiv laiv sijui....ila pesa pesa tuu
 
Huyu b12[b twangala]sinaskia ni mtoto ngaringari....afu baba ake ni mwalimu wa shule ya mshingi sanawari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…