Adam mchomvu,b12 na diva

When one door close, many other doors open!
 
Gadner huyoooo Azam TV hata hao soon wapo njian,,,jamaa anatoa mikataba ya hatari.
 
wapo likizo au kibarua kimeota matairi ... ila XXL itapoa cjui atareplace nani
 
huko mwendako mkawatayarishie makao wengine
 
B12 WA CLOUDS FM AZUNGUMZIA ISHU
YAKE YA KUSIMAMISHWA KAZI

Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni
miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio
subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai
ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na
taratibu za Clouds Media inavyotakiwa
kuendeshwa.

±

Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo,
kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye
akamwagika kimtindo huu,
“Mimi bado nipo Clouds media sema tu
sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa
pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full
details zungumza na uongozi wa Clouds
Media hope utafahamu zaidi things follow
apart” – B12.


Source:lindiyetu-Fahari ya kusini

FAHARI YA KUSINI MWA TANZANIA: B12 WA CLOUDS FM AZUNGUMZIA ISHU YAKE YA KUSIMAMISHWA KAZI
 
Kumbuka wimbo wa Wagosi wa Kaya - Nyeti

Kuna beti moja jamaa waliimba hivi


"
...
Kuna kitu kinaniuma saaaaana san sana sana sana

Usipende kunyanyasa mwenzio mkiwa ofisini

Siku ya siku na wewe unapigwa chini, haupo tena kazini

Na una shida halafu unaranda randa mtaani, eeh

Yule mwenzio uliyemtilia chonjo kazini, mnakutana mtaani

Utaanza vipi kwanza kumwangalia usoni

Mwenzio tartiibu anakatiza na baloon
..."


Hapa vijana tunapata fundisho kwamba mwajiri ni mwajiri tu, imagine hawa vijana wanavyolalamikiwa kwa matumizi mabaya ya lugha dhidi ya watangazaji na redio zingine, dhidi ya wasanii waliokuwa nje ya mfumo wa unyonyaji wa bosi wao etc.

Ninaamini watasimama na kusonga mbele zaidi, lakini ni fundisho.
 
Nahisi kuna aina mpya ya wadudu nisio wajua...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…