Mwanangikolo
Member
- Nov 10, 2022
- 63
- 105
Jamaa ni comedian hatumii hivyo vitu labda mjani.Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!
Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni!
Yaani jinsi jamaa anavyoongea na anavyojibu maswali anayoulizwa ni tofauti kabisa, na ni kama analegeza sana sauti kama mtu ambaye yupo high sana dizaini kama katumia kilevi (anasikika kama mla unga maana anaslein sana lugha) mpaka nimejiulza huyu jamaa leo vipi?
Na katika moja ya maneno yake anamwambia Meena Ally "Will you marry me?" Wakati Meena kamuulza swali la kuhusu Fiesta!
Nimeamua nije kwenu wadau na swali hili kufahamu kama ni kweli huyu jamaa anakula poda a.k.a sembe!
Naomba kuwasilisha.
Yes anakulaa mjani ila ni mtu wa masihara sana mara nyingi huwa yeye hayuko seriousJamaa ni comedian hatumii hivyo vitu labda mjani.
seriouz kwa mjani adam anatumia ila unga sidhaniJamaa ni comedian hatumii hivyo vitu labda mjani.
Acha shoboAdam naona siku hizi kabadilika kidogo,alikuwa na usela mwingi anavaa mlegezo,anabeba vipima joto hachani nywere....yaani ni vuru vuru huyu kijana ....nikawa namsema kwenye ukurasa wao Wa Clouds,Jamaa akawa anifata inbox ananipa matusi ya kufa mtu....ndo nikajua huyu kijana kichwani kwake Kuna kitu hakiko sawaaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]labda kashakuelewaAdam naona siku hizi kabadilika kidogo,alikuwa na usela mwingi anavaa mlegezo,anabeba vipima joto hachani nywere....yaani ni vuru vuru huyu kijana ....nikawa namsema kwenye ukurasa wao Wa Clouds,Jamaa akawa anifata inbox ananipa matusi ya kufa mtu....ndo nikajua huyu kijana kichwani kwake Kuna kitu hakiko sawaaa.
Kabisa. Yupo katika age ambayo yuko proud kufanya vituko akidhani ndio unyamwezi. Imajini unampiga mtu mtama/kugombana hadharani kwenye steji.Ni mpumbavu mmoja hivi anaehisi ni sifa kujifanya msela sana.