Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho,msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.

Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,



View attachment 2551144View attachment 2551145

Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.

Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.

Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!

Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.

jamaa mshamba sana huyo
 
Huwa nashangaa jamaa huwa inakuwaje anakuwa na hasira za haraka hvyo wakati ni mtu wa masihara sana na kupenda kutania wenzie

Nakumbuka enzi diva the boss akiwa hapo alikuwa hapendi kabisa utani na huyu mwamba,jamaa akianzisha utani diva anamkata fasta
Anapenda kutania sana Kuna clip inamuonyesha anamkimbiza jamaa wapo tumbo wazi walikuwa wanakula nadhani wametoka nje yule mwenzie anacheza yeye amakasirika anamkimbiza huku anatukana ...ni kwamba walikuwa sijui wanataniana jamaa akapanic
 
Anapenda kutania sana Kuna clip inamuonyesha anamkimbiza jamaa wapo tumbo wazi walikuwa wanakula nadhani wametoka nje yule mwenzie anacheza yeye amakasirika anamkimbiza huku anatukana ...ni kwamba walikuwa sijui wanataniana jamaa akapanic
Hata hvyo wavuta mibangi ni kama masai wanabadilika muda wowote

Mfano mmasai mnaweza mkacheza draft ukimfunga sana unashangaa anatoa panga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom