Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Sep 13, 2015 #21 ameen hallelujah
Ndesalee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 1,092 Reaction score 522 Sep 13, 2015 #22 Man Mudi said: Usijali upande wa pili nawaandalia somo ..mzigo bado upo jikoni Click to expand... Tupo mkao wa kula. Worry out our cheif Man Mudi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Man Mudi said: Usijali upande wa pili nawaandalia somo ..mzigo bado upo jikoni Click to expand... Tupo mkao wa kula. Worry out our cheif Man Mudi
Man Mudi Senior Member Joined Oct 13, 2014 Posts 159 Reaction score 114 Sep 13, 2015 Thread starter #23 Mbimbinho said: No 4 kwa wadada Wa kibongo huwa wanachukulia tofauti asee, but thanks for the hints Click to expand... hiyo ni kweli ..ndoa ni kusaidiana pamoja na kuoneana huruma
Mbimbinho said: No 4 kwa wadada Wa kibongo huwa wanachukulia tofauti asee, but thanks for the hints Click to expand... hiyo ni kweli ..ndoa ni kusaidiana pamoja na kuoneana huruma
K katusyo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 1,455 Reaction score 434 Sep 13, 2015 #24 Nimekupata Mkuu Nitafanya Hivyo
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 Sep 13, 2015 #25 nimependa hapo "usijilinganishe na mkeo" kuna wanaume ni hatari. yaani yeye anaona yupo Sawa na mkewe. yaani ni mwendo wa mashindano.
nimependa hapo "usijilinganishe na mkeo" kuna wanaume ni hatari. yaani yeye anaona yupo Sawa na mkewe. yaani ni mwendo wa mashindano.