Ada za Vyuo/shule, Chakula kupanda maradufu!

Ada za Vyuo/shule, Chakula kupanda maradufu!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,105
Tozo na bei mpya ya mafuta itapandisha kila kitu zikiwemo stationeries, ada. Punde tutaongea lugha moja!

c5cab434af168806db16f273051aa550.jpeg
 
Sasa mkuu, mbona umetusindikizia na picha ya Carlo Ancelotti? Kwani wachezaji wa Everton wanapimwa tindikali lini?


Nchi inaenda kufanana na jehanamu. Pengine tukivumilia, tunaweza tusiende motoni.
 
Back
Top Bottom