nayo jua ni feza school 4.5milion kwa nursery schoolHiyo feza ngoja nikiitie huyu miss chagga
Hiyo feza ngoja nikiitie huyu miss chagga
nayo jua ni feza boys 4.5milion kwa nursery school
Aiseee hiyo sawa na ada masters pale udsm kwa mwaka!nayo jua ni feza boys 4.5milion kwa nursery school
labda nikupe namba ya mwalimu mmoja wa nursery umpe wifi yangu afanye mchakato sipo kwenye position ya kufuatilia kaka yangumjomba wako keshapita hiyo level..sasa mwakani nataka aanze la kwanza...
hebu nifanyie mpoango dada yangu.
Kwenye website zao wameweka mawasiliano yao (namba za simu) ila kwa sasa nipo mbali na simu na wifi yako ana mchecheto kweli wa kufanya maamuzi soon!
yah na nadhani itakuwa inapaaAiseee hiyo sawa na ada masters pale udsm kwa mwaka!
mwalimu sophia alitoa hii namba 0712 339235 wapigietafadhali,
natanguliza shukrani!
Salaam wakuu,
Ninaomba msaada kwa wanaofahamu juu ya ada za shule hizi kwa elimu ya msingi (mtoto wa kuanza darasa la kwanza).
- Hazina International
- Feza Schools
- Ali Hassan Mwinyi Elite
- Sunray Primary.
Nimejaribu kupitia kwenye tovuti zao sijapata chochote zaidi ya links ambazo hazina chochote. Nimesikitika lakini ni hivyo hivyo kwenye karibu kila sekta nchini kwetu, uwazi wa mambo ni kama dhambi.
Anyway, nisilalamike sana naamini hapa nitapata wadau watakaoweza kunisaidia hilo na lolote la ziada juu ya shule hizo au mojawapo ya shule hizo.
Natanguliza shukrani.
Rule ya biashara do not let competitors know your costs and prices sababu kwa kufanya hivo competitor anaweza kupunguza bei za huduma/bidhaa zake ili wateja waje kwake.Hiyo ndio reason ya kutoweka gharama zao wazi ukitaka hizo information nenda sehemu husika
Eeh bora wifi kaamua kuwekeza kwenye elimu kuliko kwenye kitchen party lol.Shukrani mkuu...niitie tu wote wadau wa elimu. Kukuza kazi kweli kweli jamani sasa mama mtoto anasema mtoto hawezi kupelekwa Bunge primary eti..dah!
espy, Heaven Sent, Heaven on Earth gfsonwin mkuje mnisaidie tafadhali...
Eeh bora wifi kaamua kuwekeza kwenye elimu kuliko kwenye kitchen party lol.
Ikishindikana kupata hizo costs humu, itabidi tu mtumie mawasiliano yao
Huyo mwalimu ameolewa au??mwalimu sophia alitoa hii namba 0712 339235 wapigie
Ha ha hata sijuiHuyo mwalimu ameolewa au??
Yeye ni mzuri na anachura kama wewe??Ha ha hata sijui