Ada za Mafinga Clinical Officer Training Center

Jun 9, 2016
33
9
Jamami kwa yoyote ajuae au alisha soma Mafinga Clinical Officer Training Center naomba anisaidie ada zao ni kiasi gani. Asanteni
 
Mafinga ni chuo cha serikali nadhani Ada yake haizidi million 1 laki 4

Ingawa kuna mabadiriko makubwa kwenye vyuo vya serikali mambo mengi mtajitegemea chakula nk

INAMAANA VYUO VYOTE VYA DIPLOMA GVT ADA ZAKE ZINA RANGE M1.2 BUT CHAKULA NA HOSTEL KILA KITU MNAJITEGEMEA ??
 
Mafinga ni chuo cha serikali nadhani Ada yake haizidi million 1 laki 4

Ingawa kuna mabadiriko makubwa kwenye vyuo vya serikali mambo mengi mtajitegemea chakula nk
Hivi joining instructions forms za hivi vyuo vya afya zinatoka lini ili wazazi na walezi tujue tunajipangaje kwenye ulipaji wa ada?
 
INAMAANA VYUO VYOTE VYA DIPLOMA GVT ADA ZAKE ZINA RANGE M1.2 BUT CHAKULA NA HOSTEL KILA KITU MNAJITEGEMEA ??
Yap mkuuu ada za govt zinafanana tuu

Wenzenu tulisoma ada laki 3 msosi na hosteli umeme na kila kitu

Kweli zama zimebadirika
 
Wadau mnishauri, hivi ukianza masomo kozi Fulani kwenye vyuo vya nacte na ukasoma mwaka ktk miaka3 ya kozi ukataka kubadilisha chuo na fakati, na kwenye vyuo HV HV vya nacte ,je inawezekana?
 
Back
Top Bottom