ada za kusoma masters juu

ada za kusoma masters juu

Joined
Jan 17, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Jaman ada za kusoma masters zimepanda sana katika vyuo vingi.mfano udsm kutoka mil 3 hadi mil 6.hii ndio big result now.
 
Pole sana Mkuu,,kwa Tanzania Masters sio kipaumbele cha kila mtu,kipaumbele ni degree ya kwanza!Ya pili u will have to dig deep your pockets.
Nataka nijiendeleze.ila kwa sas inabid nitulie kwanza nitafute nitasoma tu.
 
Unaenda kusoma masters unarudi mtaani kuja kutafuta ajira..iyo pesa ya kulipia masters si bora niwekeze kwenye biashara...degree moja inanitosha kabisa kwa maisha ya sasa unless otherwise nimeahidiwa ukurugenzi BOT...iyo ada ya masters naomba wapandishe ifike ata milioni 200
 
Kama haujapata ajira, sikushauri ata siku moja usome masters, utakuwa unapoteza pesa yako tu, watu wanasoma masters waongezewe mshahara au wapandishwe cheo, kama bado hujapata ajira nakushauri iyo pesa ya ada ungejiajili, kwani ata waliofanikiwa wengi hawana izo masters, anza biashara usipoteze pesa na mda wako.
 
Tuko pamoja
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa Jamani si mumshauri akafanye biashara gani? Kama hamtaki akasome
 
Kama haujapata ajira, sikushauri ata siku moja usome masters, utakuwa unapoteza pesa yako tu, watu wanasoma masters waongezewe mshahara au wapandishwe cheo, kama bado hujapata ajira nakushauri iyo pesa ya ada ungejiajili, kwani ata waliofanikiwa wengi hawana izo masters, anza biashara usipoteze pesa na mda wako.

Hapo umenena! Masters bongo!
 
Jaman ada za kusoma masters zimepanda sana katika vyuo vingi.mfano udsm kutoka mil 3 hadi mil 6.hii ndio big result now.
Hiyo mbona kidogo sana. By the way sijawah kuona mwanafunz wa masters akilalamika ada. Kama vp pga chin katafute kwanza ada.
 
kama haujapata ajira, sikushauri ata siku moja usome masters, utakuwa unapoteza pesa yako tu, watu wanasoma masters waongezewe mshahara au wapandishwe cheo, kama bado hujapata ajira nakushauri iyo pesa ya ada ungejiajili, kwani ata waliofanikiwa wengi hawana izo masters, anza biashara usipoteze pesa na mda wako.

jiulize kwanza degree uliyoipata imekusaidia nini??watu wengine siku hizi wanatafuta kazi weeeeeee wakiona hawapati wanakimbilia kusoma master eti kuvuta muda!huo ni ulimbukeni mkubwa sana.
 
Kama haujapata ajira, sikushauri ata siku moja usome masters, utakuwa unapoteza pesa yako tu, watu wanasoma masters waongezewe mshahara au wapandishwe cheo, kama bado hujapata ajira nakushauri iyo pesa ya ada ungejiajili, kwani ata waliofanikiwa wengi hawana izo masters, anza biashara usipoteze pesa na mda wako.
Naunga mkono hoja. Ila ukishaseti hiyo biashara yako na kupata uhai, haraka chukua masters.
 
Unaenda kusoma masters unarudi mtaani kuja kutafuta ajira..iyo pesa ya kulipia masters si bora niwekeze kwenye biashara...degree moja inanitosha kabisa kwa maisha ya sasa unless otherwise nimeahidiwa ukurugenzi BOT...iyo ada ya masters naomba wapandishe ifike ata milioni 200

Sitoshangaa wewe ukiwa ni mmoja wa wanaolalamika kwamba waKenya wanachukua fursa za waTanzania kwenye soko la ajira.
 
Never ever my friend...unadhani kusoma masters ndo utaweza kushinda na wakenya,usijidanganye..wale wako mbele kitambo
 
jiulize kwanza degree uliyoipata imekusaidia nini??watu wengine siku hizi wanatafuta kazi weeeeeee wakiona hawapati wanakimbilia kusoma master eti kuvuta muda!huo ni ulimbukeni mkubwa sana.

Duh!! Nimesoma coment yako nimeumia japo ulichosema ni cha ukwel maan hata mim natak nibadilishe professional nichukue nyingine yani kwa mfano labda utoke ualimu uende human resource.nimfano tu c wa kwel.
 
Back
Top Bottom