Ada mpya vyuo vya ualimu

Ada mpya vyuo vya ualimu

Kigilagilagatirumo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
503
Reaction score
734
Ndugu wana JamiiForums,

Wenzetu wameshachaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu wa awali kwa ada ya sh 600000/=

Je? katika uhalisia wa kawaida kwa maisha ya Mtanzania wa chini, kuna haki yoyote kumgharamia gharama za meal and accomodation pamoja na ada laki sita unasomea ualimu wa vitoto, vidudu au chekechea?

WATOE BOOM WAACHE UJINGA.

Wakuu serikali iliongeza ada vyuo vya ualimu maradufu kama ifuatavyo;cheti 300,000/=,stashahada masomo ya sanaa 400,000/=,stashada masomo ya sayansi 600,000/= source:mwanainchi july 28. Je stashahada ya awali watalipa sh ngapi?
 
Ndugu wana jamii forum,Wenzetu wameshachaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu wa awali kwa ada ya sh. 600000/= Je? katika uhalisia wa kawaida kwa maisha ya mtanzania wa chini kuna haki yoyote kughamia gharama za meal and accomodation pamoja na ada laki sita unasomea ualimu wa vitoto, vidudu au chekechea? WATOE BOOM WAACHE UJINGA

Kwenye vyuo vya serikali hayo malipo ni kwa ajili ya ada pamoja na gharama za chakula, BTP, na hostel.
 
hiyo ada inajumuisha ugali na maharagwe na hostel pia. Uenda hao waalimu wataajiriwa moja kwa moja na serikali hivyo itakua sio shidah!
 
Wakuu serikali iliongeza ada vyuo vya ualimu maradufu kama ifuatavyo;cheti 300,000/=,stashahada masomo ya sanaa 400,000/=,stashada masomo ya sayansi 600,000/= source:mwanainchi july 28. Je stashahada ya awali watalipa sh ngapi?
 
naomba kupata maelezo ya kina juu ya haya maneno "stashahada ya kawaida elimu ya awali" "stashahada ya kawaida elimu ya msingi"
nawakilishi
 
Ndugu wana JamiiForums,

Wenzetu wameshachaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu wa awali kwa ada ya sh 600000/=

Je? katika uhalisia wa kawaida kwa maisha ya Mtanzania wa chini, kuna haki yoyote kumgharamia gharama za meal and accomodation pamoja na ada laki sita unasomea ualimu wa vitoto, vidudu au chekechea?

WATOE BOOM WAACHE UJINGA.

naomba kupata maelezo ya kina juu ya haya maneno "stashahada ya kawaida elimu ya awali" "stashahada ya kawaida elimu ya msingi"
nawakilisha
 
Je kuna mtu anataka kuhamia Kilindi kikazi anatoka Bagamoyo au Dar idara sekondari?
 
Jaman mi ni mwl wa shule ya msingi nna div 3 form na baada ya kuona tangazo hili niliomba na nmechaguliwa nachingwe stashada elimu ya awali sasa hata sielewi nifanye nini
 
Back
Top Bottom