ADA KWA COARSE YA CLINICAL MEDECINE VYUO VYA SERIKALI

ADA KWA COARSE YA CLINICAL MEDECINE VYUO VYA SERIKALI

Msokwa1

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
480
Reaction score
529
Naomba kujua ada za coarse ya clinical medicine kwa vyuo vya serikal ukiapply kupitia NACTE
 
hujui hata kuandika neno course cjui mwalimu wako yuko wapi na hili bandiko lako [emoji121][emoji121]
Naomba kujua ada za coarse ya clinical medicine kwa vyuo vya serikal ukiapply kupitia NACTE
 
Naomba kujua ada za coarse ya clinical medicine kwa vyuo vya serikal ukiapply kupitia NACTE

Orodha ya vyuo vyote vya afya vya serikali na binafsi pamoja na ada zake hizi hapa http://41.93.40.135:8080/selections/guidebook.jsp?Board=HAS

Mfano chuo cha Mbeya College of Health Sciences ada yake ni kama invyoonekana hapa chini kwenye picha
TIM截图20181126150152.jpg
 
Back
Top Bottom