Ada elekezi shule binafsi tayari

Hakuna cha ada elekezi wala Ada dekezi.Ukishindwa kumudu mpeleke government.Mnataka vitu vikubwa kwa bei chee?Kama unaona huduma haziendani na pesa unayotoa si umhamishie unakoona kunafaa?
 
Hamna kitu hapo, kwanini iwe majaribio na kwanini iwe kwa baadhi ya shule?

.....nilichokiona kuna shule zina sauti kuliko serikali....

Uko sahihi. Huu ni mwendelezo wa sanaa za maigizo za serikali ya Magufuli. Vigogo wengi katika 'chama' na serikali wanamiliki shule binafsi. Kwa lugha nyingine, hao hao wanaotuhadaa kuwa wana nia ya kudhibiti ada katika shule binafsi wana maslahi yao binafsi katika hizo shule! Hapa kuna mgongano wa kimaslahi na mwisho wa siku hakuna kitakachofanyika. Chini ya 'katiba ya Warioba' hii conflict of interest ingedhibitiwa kikatiba. Swali: kwanini CCM walikataa miiko na maadili ya viongozi katika rasimu ya Warioba?
 

Mkuu ni maradhi au malazi..??
 

na huo ndio ukweli wanaoukimbia,ni wazi wanajua ila ni wavivu tu kuamua kufanya. Ziboreshwe shule za kina kayumba,hkn atakayeenda private. Ubishi tuhh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…