Mohamedi Likoko
Member
- May 8, 2013
- 9
- 2
Chama cha ACT - WAZALENDO leo kimevuna wanachama wapya takribani 83 katika kata mbili, ambazo ni Mafisa (52) na kata ya Mji mkuu (31), katika operesheni hiyo maalum ya kuhakikisha kata zote 29 za jimbo la morogoro mjini zinachukuliwa na chama cha ACT - WAZALENDO ni muendelezo wa mikakati ya kukirahisishia chama hiki kutwaa jimbo hili saa 7 mchana. operesheni hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa jimbo la morogoro mjini, bi mariam (mama faraji), katibu uenezi wa jimbo, James Luanda na Afisa habari wa jimbo ACT - WAZALENDO, bwana Mohamed Likoko.
ACT WAZALENDO ..... TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.
ACT WAZALENDO ..... TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.