ACT Wazalendo yatafakari kujiondoa SUK

ACT Wazalendo yatafakari kujiondoa SUK

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,653
Reaction score
272,475
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki , Aliyemsaidia kuiba kura 2020

Mimi binafsi nilipinga ACT wazalendo kujiunga SUK , kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea , lakini nilipuuzwa

Zito tawi letu B, kazi iendelee
 
Hawa si wanasimamaga jukwaani kumpaisha Mama kuwa anaupiga mwingi?

Waacheni wale shubiri kwanza
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
Zitto njoo huku uitibu nchi. Njoo na pawasefu na penaduu, nchi ina hali mbaya
 
Back
Top Bottom